BONGOLALA
JF-Expert Member
- Sep 14, 2009
- 16,511
- 11,913
Ndiye MD wa kwanza bank hizoAkiba ni Benki ya Wakenya, Amana ni Benki ya Wapakistani. Idris kaianzisha vp...?
Naomba kujuzwa mkuu
Ndiye MD wa kwanza bank hizoAkiba ni Benki ya Wakenya, Amana ni Benki ya Wapakistani. Idris kaianzisha vp...?
Naomba kujuzwa mkuu
Kama nyie hamjasoma mtaajiriwaje bank?90% Ya Wafanyakazi ni wachaga....
Ha ha ha....SAWA.Kama nyie hamjasoma mtaajiriwaje bank?
Wachaga tu ndio wamesoma nchi hii?Kama nyie hamjasoma mtaajiriwaje bank?
....thats why you have chosen it, hahaCrdb bank body of directors ni mangi tupu.
Haha [emoji23] haha [emoji23] haha [emoji23] haha [emoji23] haha [emoji23] haha Aya mambo ya ukabila ni ishu sana
...hayo umesema weweWachaga tu ndio wamesoma nchi hii?
...naona leo mlikuwa na kipindi cha shares darasani, sasa ndo unataka kufanya assignment yako humu, kabla hujaanza kuandika chochote kwenye karatasi lako, embu fanya utafiti kidogo khs CRDB then umuombe mwalimu wako arudie kukufundisha shares, then ndo uje u comment humu, "eti preference shares" haha!kama serikali ndio mmiliki wa kwanza na ndio mwenye PREFERENCE SHARE.... anaweza kununua share zote za watu wadogo wadogo...au wakaweka policy ambazo zitakuwa ngumu kwa waendeshaji(management)...BUY BACK SHARES
Serikali ikiamua kuchukua inaweza sana, NOTHING IS IMPOSSIBLE....ITS EITHER kwa kununua shares kwa wingi au kuforce management yao kuanza kununua share zao wenyewe
Wanastahili mkuu. Sidhani kama hao directors wana vyeti vya kuunga unga. Nasikia NSsf watu waliacha kazi wenyewe wakati wa kuhakiki vyeti.Crdb bank body of directors ni mangi tupu.
Haha [emoji23] haha [emoji23] haha [emoji23] haha [emoji23] haha [emoji23] haha Aya mambo ya ukabila ni ishu sana
Swali hili linaulizwa leo baada ya yeye kusema uchumi uko katika hali tete?Habari wanajamvi?
Mi naomba mnijuze tu maana sijui hii benki inamilikiwa na mtu binafsi au kikundi cha watu fulani, ujinga mzuri naomba kujua.
Nimecheka sanaKwani Tuli naye mchaga? Jamani tuangalie ufanisi na siyo ukabila. KAMA wachaga wanaweza wawekwe kuliko Kuweka wa kabila langu la malafyale kisha benki ife
Asante kwa Data.Hans Macha wachaga wapo kila sehemu.
Akiba ni Benki ya Wakenya, Amana ni Benki ya Wapakistani. Idris kaianzisha vp...?
Naomba kujuzwa mkuu
Mimi mwenyewe NI Mangi and iam just replyng this all the way Cape TownAsante kwa Data.Hans Macha wachaga wapo kila sehemu.
Kwanini usiache mapepe ukatulia alafu ukajibu swali vizuri?au kama hujui chochote ujikalie zako kimya.Hehehehehhe samahani lakini....
Kiukweli sio yake......
Ila kiukweli ni kama yake......
Kwanini nasema hivyo.......
Management ya crdb plc nitofauti sana na management ya nmb plc.....
Alafu tetesi nikuwa........ Kwaheri wasije nisaka bure.....
kwa hiyo wachagga tu ndio wanastahili kuwa directors?Wanastahili mkuu. Sidhani kama hao directors wana vyeti vya kuunga unga. Nasikia NSsf watu waliacha kazi wenyewe wakati wa kuhakiki vyeti.