Hivi Dr. Charles Kimei ndio mmiliki wa CRDB?

Hivi Dr. Charles Kimei ndio mmiliki wa CRDB?

Wewe ni mwana hisa?? Ngoja ukaulize kwenye mikutano yenu
 
Habari wanajamvi?
Mi naomba mnijuze tu maana sijui hii benki inamilikiwa na.mtu binafsi au kikundi cha watu fulani... ujinga mzuri naomba kujua.
acha upopompo.
 
Ndio mtu aliyeleta mapinduzi makubwa kwenye hiyo bank...wayback 1993 hiyo bank ilikuwa inapumulia mashine halafu taratibu jamaa akainyanyua ikanyanyuka
1993 tena, c nasikia imeanza 1996
 
wengi saaaana hapa tz wanadhani crdb ni bank ya umma. Hii bank sio ya umma inamilikiwa na watu/makampuni mbali mbali kwa njia ya hisa. Ila utashangaaa wajinga wakianzisha mada zao za sijui nssf ina udini humo humo wana changanya na crdb utadhani ceo wake ninmteule wa rais wa jmt.

Eleweni crdb ni private bank.
 
Habari wanajamvi?
Mi naomba mnijuze tu maana sijui hii benki inamilikiwa na.mtu binafsi au kikundi cha watu fulani... ujinga mzuri naomba kujua.
Hehehehehhe samahani lakini....
Kiukweli sio yake......
Ila kiukweli ni kama yake......
Kwanini nasema hivyo.......
Management ya crdb plc nitofauti sana na management ya nmb plc.....
Alafu tetesi nikuwa........ Kwaheri wasije nisaka bure.....
 
wengi saaaana hapa tz wanadhani crdb ni bank ya umma. Hii bank sio ya umma inamilikiwa na watu/makampuni mbali mbali kwa njia ya hisa. Ila utashangaaa wajinga wakianzisha mada zao za sijui nssf ina udini humo humo wana changanya na crdb utadhani ceo wake ninmteule wa rais wa jmt.

Eleweni crdb ni private bank.
Acha ujinga usione watu kuwa wajinga ndio hawajuwi nini kinaendelea crdb plc jibu swali nasio ulete maneno yasio na mashiko wala maana.
 
Back
Top Bottom