nkuwi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 4,771
- 5,315
Habari za muda huu wadau wa sport
Naomba kujua hili suala kwa undani zaidi, hii timu inamilikiwa na nani? swali hili linatokana na maelezo ya kocha wao Ernest
Kwanza hii timu mwanzoni ilikuwa inaitwa Singida Big Stars baadaye ikabadililshwwa/kuuzwa na kuitwa Singida Fountain Gate maana yake umiliki wa awali umehama.
Sasa nisichokielewa ni hiki mbona Mwigulu bado anatajwa kama boss na mmiliki?? kiaje?
Mambo ya kutaka mchezaji fulani apangwe na hoja nyingine, hapa tunaongelea umiliki, mbunge na waziri wa fedha anapata wapi pesa zote za kumiliki timu?
Au tozo ndio zinaendesha hii timu?
Kuna nyingine ile iliyocheza na utopolo jana nayo ina hoja kama hii.
Karibuni