Kinyungu
Platinum Member
- Apr 6, 2008
- 22,564
- 45,462
Sasa kama unadhani serikali inaweza kuichukua iambie iichukue. Acha kupiga kelele hapa kama kasuku.mbwa wewe hope uwe unasoma kwa maelezo mazuri.....kama serikali ingekuwa bado inaitaka CRDB inaweza ikaichukua .....kuna takeover ambazo zinaweza kuwa forced na management isifanye kitu.....it depends na shares wanazomiliki ilikuwa restructured na ndio maana ipo ngumu lakini kumbuka no one owns more than 50%....so kuwaondoa watu wadogo wadogo ni easy sana sana