Denis denny
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 5,780
- 7,834
Mbona hujajibu swali la mhusika ama umeanza na kibwagizomchaga ni mchaga wameleta mapinduz mengi sana kwenye hii nchi na nchi za nnje
Mbona hujajibu swali la mhusika ama umeanza na kibwagizomchaga ni mchaga wameleta mapinduz mengi sana kwenye hii nchi na nchi za nnje
We muache tu...wec we unataka watu waanze kupayuka humu, Hilo neno Ni chungu Sana midomoni kwa watu
Habari wanajamvi?
Mi naomba mnijuze tu maana sijui hii benki inamilikiwa na.mtu binafsi au kikundi cha watu fulani... ujinga mzuri naomba kujua.
wengi saaaana hapa tz wanadhani crdb ni bank ya umma. Hii bank sio ya umma inamilikiwa na watu/makampuni mbali mbali kwa njia ya hisa. Ila utashangaaa wajinga wakianzisha mada zao za sijui nssf ina udini humo humo wana changanya na crdb utadhani ceo wake ninmteule wa rais wa jmt.
Eleweni crdb ni private bank.
Unachomaanisha ni sawa na TBL ilianzishwa na serikali ila imetekwa na matajiri. Idadi kubwa ya watanzania wamedumaa kiakili. CRDB ni bank binafsi inayomilikiwa kwa hisa hayo mengine ni historia isiyi na maana tena kwa wamiliki wa sasaMmm we bwana crdb ilianzishwa na serikal Kama benk ya kuleta maendeleo vijiji Larkin nw days imetekwa na matajir
Mmm we bwana crdb ilianzishwa na serikal Kama benk ya kuleta maendeleo vijiji Larkin nw days imetekwa na matajir
Crdb bank body of directors ni mangi tupu.na jamaa kawajaza jamaa zake pale utafikiri ni parakio ya kilimanjaro
Ivi tokea mwaka huo wa 1996 alivyoianzsha ni yeye mkurugenzi mtendaji mpaka Leo. Basi amepambana sana kuisimamishaMkuu usiwe mvivu wa kujifunza.
Benki ya ushirika na mandeleo vijijini au CRDB iliundwa na serikali lakini ikafa kifo cha mende mwaka 1995 kutokana na ubadhilifu na ufisadi, hivyo ikawa inakula mtaji wake polepole hadi ilipokuwa hoi.
Mwaka 1996 ikaanzishwa CRDB mpya chini ya Dr Charles Kimei na ndiyo unayoiona leo hii imeenea kila kona nchini.
na jamaa kawajaza jamaa zake pale utafikiri ni parakio ya kilimanjaro
jinyamazie tu mwanawane......yule mzee acha tuHehehehehhe samahani lakini....
Kiukweli sio yake......
Ila kiukweli ni kama yake......
Kwanini nasema hivyo.......
Management ya crdb plc nitofauti sana na management ya nmb plc.....
Alafu tetesi nikuwa........ Kwaheri wasije nisaka bure.....
Pamoja na kuingia jf hata wewe huwezi jua vitu vyote ni lazima kuna vingine ni vya kawaida tena sana lakini utauliza.
Mkuu usiwe mvivu wa kujifunza.
Benki ya ushirika na mandeleo vijijini au CRDB iliundwa na serikali lakini ikafa kifo cha mende mwaka 1995 kutokana na ubadhilifu na ufisadi, hivyo ikawa inakula mtaji wake polepole hadi ilipokuwa hoi.
Mwaka 1996 ikaanzishwa CRDB mpya chini ya Dr Charles Kimei na ndiyo unayoiona leo hii imeenea kila kona nchini.
kama serikali ndio mmiliki wa kwanza na ndio mwenye PREFERENCE SHARE.... anaweza kununua share zote za watu wadogo wadogo...au wakaweka policy ambazo zitakuwa ngumu kwa waendeshaji(management)...BUY BACK SHARESNaona una hangover ya ujamaa. Kama yupo kidume hapa Tanzania mwambie achukue hiyo bank basi kama itawezekana.
Ndiyo maana nyie watu nasema akili zenu zimedumaa. Hivi unajua hii ni nchi ya kibebari kwa sasa? Au bado unaamini inafuata siasa za ujamaa na kujitegemea? CRDB ilishauzwa. Serikali haina tena umiliki wa bank hii. Kama inashindwa kuinunua nbc ambako ilikuwa na hisa itaweza crdb? Kama ni ujinga nyerere aliwaweza. Kawaachia wa kutoshakama serikali ndio mmiliki wa kwanza na ndio mwenye PREFERENCE SHARE.... anaweza kununua share zote za watu wadogo wadogo...au wakaweka policy ambazo zitakuwa ngumu kwa waendeshaji(management)...BUY BACK SHARES
Serikali ikiamua kuchukua inaweza sana, NOTHING IS IMPOSSIBLE....ITS EITHER kwa kununua shares kwa wingi au kuforce management yao kuanza kununua share zao wenyewe
wengi saaaana hapa tz wanadhani crdb ni bank ya umma. Hii bank sio ya umma inamilikiwa na watu/makampuni mbali mbali kwa njia ya hisa. Ila utashangaaa wajinga wakianzisha mada zao za sijui nssf ina udini humo humo wana changanya na crdb utadhani ceo wake ninmteule wa rais wa jmt.
Eleweni crdb ni private bank.
Wewe ndo punguani,Crdb ni benki ya watu binafsi na DANIDA no shareholders,syo kama Nssf mlivotaka kuifanya answaar suna magufuli akawastukiaAcha ujinga usione watu kuwa wajinga ndio hawajuwi nini kinaendelea crdb plc jibu swali nasio ulete maneno yasio na mashiko wala maana.
Kama serikali ingekuwa bado inaitaka CRDB inaweza ikaichukua .....kuna takeover ambazo zinaweza kuwa forced na management isifanye kitu.....it depends na shares wanazomiliki ilikuwa restructured na ndio maana ipo ngumu lakini kumbuka no one owns more than 50%....so kuwaondoa watu wadogo wadogo ni easy sana sanaNdiyo maana nyie watu nasema akili zenu zimedumaa. Hivi unajua hii ni nchi ya kibebari kwa sasa? Au bado unaamini inafuata siasa za ujamaa na kujitegemea? CRDB ilishauzwa. Serikali haina tena umiliki wa bank hii. Kama inashindwa kuinunua nbc ambako ilikuwa na hisa itaweza crdb? Kama ni ujinga nyerere aliwaweza. Kawaachia wa kutosha
Crdb bank body of directors ni mangi tupu.
Haha haha haha haha haha haha Aya mambo ya ukabila ni ishu sana