Kusema la ukweli haijawahi fika miatano tangu iingie sokoni. Ila mwisho wa mwaka faida bank inapata kubwa karbia nmb plc ila gawio kwa wana shea ni sawa na tone la mchanga wakat nmb gawio kila mwaka linatia furaha kumilikihisa zao wakati crdb plc ni zaid ya wizi.... Jiulize nani anafanya nini....Hivi share zake ni sh. ngapi kwa kila moja
Hata MD fulani alikuwa hivyo ila sikuizi ametulia baada yakumulikwa.....CRDB,os one big family under Baba Kimeo who loves his Siblings naWanawe pia wanampenda mno.
Kwani Wewe unajua kila kitu katika ulimwengu huu??ili baada ya hapo tuweze kujua upopompo wa muuliza swali
na ndio ilikuwa na maana halisi ya CRDB,kwa maana ya kuwa benki ya ushirika na maendeleo vijijini,siku hizi imekuwa ya wapigaji wa mjiniKabla ya 1996 ilikuwa iko chini ya Serikali
Sio kwa huyu,yeye joni, hemedi wote wanawe.Hata MD fulani alikuwa hivyo ila sikuizi ametulia baada yakumulikwa.....
Alinunua waandishi wa habari
Mitandao
Vyombo vya habari...
Mpaka wafanyakazi....
Ila ukweli umejulikana na sio siku nyingi mahakam yaweza muhusu....
Pamoja na kuingia jf hata wewe huwezi jua vitu vyote ni lazima kuna vingine ni vya kawaida tena sana lakini utauliza.hivi kwa ulimwengu huu ambao mtoa mada anaweza kuingia jf unashindwaje kujua wamiliki wa CRDB?
wengi saaaana hapa tz wanadhani crdb ni bank ya umma. Hii bank sio ya umma inamilikiwa na watu/makampuni mbali mbali kwa njia ya hisa. Ila utashangaaa wajinga wakianzisha mada zao za sijui nssf ina udini humo humo wana changanya na crdb utadhani ceo wake ninmteule wa rais wa jmt.
Eleweni crdb ni private bank.
Naona una hangover ya ujamaa. Kama yupo kidume hapa Tanzania mwambie achukue hiyo bank basi kama itawezekana.Benki ya Ushirika na Maendeleo Vijijini(Cooperative and Rural Development Bank-C.R.D.b) ni Benki ya Wakulima.Nadhani kati ya 1996/97 baada ya kusuasua ikapewa wadau na kuwa Ltd. Kimsingi Umma una maslahi yake. Sema tu haijaamuliwa ila akipatikana mtu mkorofi anaweza kuamuru irudishwe kwa vyama vya ushirika. Kwa sasa ingawa inaendeshwa kwa hisa za watu tofauti bado ni PLC!
Kuna mwenye ujinga kukuzidi ww?Acha ujinga usione watu kuwa wajinga ndio hawajuwi nini kinaendelea crdb plc jibu swali nasio ulete maneno yasio na mashiko wala maana.
ILIKUWA BENKI YA WAKULIMA KAMA SIKOSEI JAMAA AKAIBADILISHA....JAMAA ANA STAHILI PONGEZIKabla ya 1996 ilikuwa iko chini ya Serikali
Serikali imeanzisha bank nyingine tena benki ya wakulima bila hata kufanya tathmini kwa nini crdb ilishindwaNdio mtu aliyeleta mapinduzi makubwa kwenye hiyo bank...wayback 1993 hiyo bank ilikuwa inapumulia mashine halafu taratibu jamaa akainyanyua ikanyanyuka
Dr Idris Rashid ndiye kaianzisha Akiba Commercial Bank na Amana Bank na zipo vizuri.Masikini NBC inakufa kifo cha mende hali ni mbaya sana wateja wamekimbiaDr Charles Kimei na Dr Idriss Rashid ni baadhi ya vichwa vizuri na hazina tuliyo nayo Tanzania.
Hawa wazee wote walikuwa wakurugenzi BOT kabla ya kuamua kutafuta nafasi zaidi za kutumia ujuzi wao.
Dr Charles Kimei ndio akaenda CRDB na DR Rashid akabakia BOT kama Gavana wakti ule kabla ya Mkapa kumpeleka NBC kuivunjavunja.
Bila Dr Charles Kimei basi CRDB isingefika hapo ilipo.
Katika watu ambao ningependelea waendeshe shirika la bandari kwa sasa ni Dr Charles Kimei ili awafundishe namna ya kuendesha shirika kwa ufanisi na sio kulialia kwenye televisheni.
NBC ni yetu jina lakini servers ziko south AfricaSerikali imeanzisha bank nyingine tena benki ya wakulima bila hata kufanya tathmini kwa nini crdb ilishindwa
Dr Idris Rashid ndiye kaianzisha Akiba Commercial Bank na Amana Bank na zipo vizuri.Masikini NBC inakufa kifo cha mende hali ni mbaya sana wateja wamekimbia
we unataka watu waanze kupayuka humu, Hilo neno Ni chungu Sana midomoni kwa watumchaga ni mchaga wameleta mapinduz mengi sana kwenye hii nchi na nchi za nnje
Sema umezoea second hand information. Umeulizwa kuna sababu gani simu unayotumia kuingia jf usiitumie kutafiti umiliki wa CRDB?Pamoja na kuingia jf hata wewe huwezi jua vitu vyote ni lazima kuna vingine ni vya kawaida tena sana lakini utauliza.
Ndugu nipo update kuliko unithaniavyo lengo langu ni kutoa elimu kuwa kuyajua machache sio teketi ya kuyajua yoteyote na ufafanuzi unatofautiana maelezo ya ku google yanatofautiana na maelezo ya jamiiforum member kimuundo na kimaudhui.Sema umezoea second hand information. Umeulizwa kuna sababu gani simu unayotumia kuingia jf usiitumie kutafiti umiliki wa CRDB?
Wewe huna tofauti na jamaa yangi mmoja ambaye anaiamini BBC swahili kuliko Mungu.
Ujinga unaowewe. Mama yako angebana wajinga kama ww wangepungua dunianihilo nalo jinga kweli , baba yako ana hasara wewe kukuzaa wewe