Kwa kuongezea hapo ktk sheria ya kiislamu ni haramu kula kilichochinjwa na muislamu ambaye haswali sala tano.Ni vema kufanya hivyo kutokana na ugeni wa uislamu kwa waislamu walio wengi. Ila kiuhalisia waislamu wanaruhusiwa kula kilichochinjwa na wakristu pia mayahudi kwani ktk Qur-ani ipo aya inaruhusu kula vilivyochinjwa na watu walioteremshiwa Taurati na Injili. Ila si halali kula kilichochinjwa na mshirikina hata kama ni muislamu kama wale wanaojitia kutibu kwa kutumia majini na wapiga nyota.
Pia ktk uislamu mwanamke aruhusiwa kuchinja.
Kitabu chetu kipi?Mtume wetu kipenzi angelikuwa anaipokea aya kiulaini leo Kuruan ingelikuwa inachambiwa ka kile kitabu chenu
Nilitaka kukurekebisha kua mwanamke haruhusiwi, wewe unasema anaruhusiwa!! Acha kupotosha wewe unajiandikia tu vitu usivyovijua,eti umeweka hiyo aya yako ya google,uislamu hauendeshwi kwa google acha kukariri maisha,Mkuu CleverKING "haruhusiwa" maana yake nini?
Nani aje sasa labda mwigulu.Asee swala la kuchinjiwa hilo nalipinga kabisaa
Nachinja mwenyewe asiyetaka asile.
Watu wengine bana ,mmeumbwa kuchafua tu hali ya hewa kwenye thread za watu [emoji3][emoji3]Nilifikiri unaongelea kuchinja binadamu kama wanavyofanya ISIS, Boko Haram, Al Shabaab na wengineo. Hapo ningekupa jibu la moja kwa moja [emoji23][emoji23][emoji23]
mkuu wakikujibu hili swali naomba unitag.Huwa mnachinja kwa kutaja jina la Mungu gani?
Tunazungumzia kuchinja. Kama kunyonga ni haramu hata kama mnyongaji ni muislamuGani sasa, watu hunyonga tu,wala sio kuchinja.
Unatafuta wanaume?!!Natafuta Wanaume wachinjaji spesho waje kunichinjia my nguruwe
mbona spesho huengelei? acha hizo bhanaUnatafuta wanaume?!!
Al-Bukhaari (may Allaah have mercy on him) reported in his Saheeh from ‘Ubayd-Allaah from Naafi’, that he (Naafi’) heard Ibn Ka’b ibn Maalik narrating from his father that they used to have sheep which they allowed to graze on the mountain of Sala’ in Madeenah: one of the slave-women noticed that one of the sheep was dying, so she broke a stone and slaughtered it. He said: “Do not eat it until I ask the Prophet (peace and blessings of Allaah be upon him) or I send someone to ask him. So he asked the Prophet (peace and blessings of Allaah be upon him), or sent someone else to ask, and he told him to eat it. ‘Ubay-Allaah said: “I liked the fact that she was a slave-woman and she managed to slaughter it.”Nilitaka kukurekebisha kua mwanamke haruhusiwi, wewe unasema anaruhusiwa!! Acha kupotosha wewe unajiandikia tu vitu usivyovijua,eti umeweka hiyo aya yako ya google,uislamu hauendeshwi kwa google acha kukariri maisha,
Hivi unawajua wamiliki wa google? Hivi unajua kua si kila kilichopo google ni accurate? Tuliza mzuka acha kujifanya mjuaji na kujifanya unaijua dini ya watu kuliko wenyewe, najua lengo lako kuu ni Kupotosha but huwezi kupotosha hii dini wenzako walishajaribu na wakashindwa.
Huengelei ndio nini? Acha kutetemeka vidole kwa woga andika comment ukiwa free ili ueleweke.mbona spesho huengelei? acha hizo bhana
naheshimu swala la dini maana kila mtu anahaki ya kuabudu atakavyo. sasa ndugu kingereza unakielewa vizuri?? wapi hapo kwenye hiyo aya imeruhusu waislam kula kisichochinjwa na muislam?Maa'ida: 5
"This day are (all) things Good and pure made lawful unto you. The food of the People of the Book is lawful unto you and yours is lawful unto them. (Lawful unto you in marriage) are (not only) chaste women who are believers, but chaste women among the People of the Book, revealed before your time, when you give them their due dowers, and desire chastity, not lewdness, nor secret intrigues…"
Kwa ufafanuzi zaidi wa kadhia hiyo rejea: Fatawa Islamiyya, Sheikh Abdel-Aziz Bin Baz, 3/404.
Hebu tulia kwanza,kunywa maji na urelax, nimekwambia hivi dini ya kiislam haiendeshwi na google na wewe usipoteze time yako kutaka kupotosha coz hutafanikiwa, naona unakuja spidi kama umetumwa vile?!Al-Bukhaari (may Allaah have mercy on him) reported in his Saheeh from ‘Ubayd-Allaah from Naafi’, that he (Naafi’) heard Ibn Ka’b ibn Maalik narrating from his father that they used to have sheep which they allowed to graze on the mountain of Sala’ in Madeenah: one of the slave-women noticed that one of the sheep was dying, so she broke a stone and slaughtered it. He said: “Do not eat it until I ask the Prophet (peace and blessings of Allaah be upon him) or I send someone to ask him. So he asked the Prophet (peace and blessings of Allaah be upon him), or sent someone else to ask, and he told him to eat it. ‘Ubay-Allaah said: “I liked the fact that she was a slave-woman and she managed to slaughter it.”
Commenting on this hadeeth, Ibn Hijr (may Allaah have mercy on him) said: “This shows that it is permitted to eat meat slaughtered by a woman, whether she is free or a slave, old or young, Muslim or of the People of the Book (i.e., Jewish or Christian), in a state of purity or otherwise, because the Prophet (peace and blessings of Allaah be upon him) told them to eat the meat she had slaughtered and did not ask for further details.”
Ni kweli kabisa google huweziifanya kama mwalimu wako wa dini na ukifanya hivyo utapotea. Ninachozungumza hapa ni kitu ambacho nimepiga goti nikasomeshwa na marejeo ninayoweka hapo nayajua vema...nawafahamu ahlul-ilm na najua thamani yao. Ndio maana nikataja fatawa ni ya Sheikh Ibn Baaz