MANI
Platinum Member
- Feb 22, 2010
- 7,318
- 6,412
Kuja PM fasta unipe namba yako,ili siku ya siku nikustue.
Ila hiyo Bar iko kule njia ya The Hill.
SeriousMadame B ?
Kuja PM fasta unipe namba yako,ili siku ya siku nikustue.
Ila hiyo Bar iko kule njia ya The Hill.
Edit fasta utoe hiyo '@'
duh, sipati negative aiseee!!!!!!!
siku moja moja tembeleeni.Brajec Mikocheni B.TPDC......me nipeni oda ya kuwatafutia guest house mapemaaaaaa!!!!!!
But stevoh, Jumamosi hii wana wa jiji twakutana pale Brajec Survey,kama vp njoo tujumuike.
...unakaaa KINO..?Nitakustua MKATA KIU ila ujue kabisa kuwa Party ikiisha nakuja kulala kwako,Kino mbali.
Sasa kama una mke, mpeleke kwao kabisaaaaa....!!!!!
Sitaki tabu mieeeeee.
...Comfy sio...Hapana,
nimesikia kanunua godoro jipya sasa ndo nataka nikalitest kama linafaaa kwa matumizi ya Binadamu.
...kudadek..Kuja PM fasta unipe namba yako,ili siku ya siku nikustue.
Ila hiyo Bar iko kule njia ya The Hill.
......me nipeni oda ya kuwatafutia guest house mapemaaaaaa!!!!!!
But stevoh, Jumamosi hii wana wa jiji twakutana pale Brajec Survey,kama vp njoo tujumuike.
ivi tunasabau za kukutana ?
Zipo nyingi sana ikiwemo kufahamiana kama wanajamii na kujamiiana ikibidi.
Zipo nyingi sana ikiwemo kufahamiana kama wanajamii na kujamiiana ikibidi.