Hivi dar members hatuwezi kukutana???

Hivi dar members hatuwezi kukutana???

Nitakustua MKATA KIU ila ujue kabisa kuwa Party ikiisha nakuja kulala kwako,Kino mbali.
Sasa kama una mke, mpeleke kwao kabisaaaaa....!!!!!
Sitaki tabu mieeeeee.


unataka kuzamia kwa watu?
 
Last edited by a moderator:
Nitakustua MKATA KIU ila ujue kabisa kuwa Party ikiisha nakuja kulala kwako.
Sasa kama una mke, mpeleke kwao kabisaaaaa....!!!!!
Sitaki tabu mieeeeee.

Usijali bachelor tu mke nimtoe wapi? Karibu sana tuijaze dunia
 
Last edited by a moderator:
Duuh sasa mbona mnapanga mipango ambayo i ya kujaza dunia tenaa ee??? Mi mgen Dar sasa sijui hiyo baa ipo wap??
 
Usijali bachelor tu mke nimtoe wapi? Karibu sana tuijaze dunia

akhaaaaaa,
Wala sitaki kuijaza dunia,mi nakuja kupumzika tu,maana nitakuwa nimechoka mbaya.
Zali limekuangukia.
 
Duuh sasa mbona mnapanga
mipango ambayo i ya kujaza dunia tenaa ee??? Mi mgen Dar sasa sijui hiyo
baa ipo wap??

Kuja PM fasta unipe namba yako,ili siku ya siku nikustue.
Ila hiyo Bar iko kule njia ya The Hill.
 
Mhhhhhh!!!!!!!!
Mbona nikiunganisha dots napata picha flani hv....!!!!!!!!
Panga boi lina kelele?
Ulijuaje?

Tulikuwa tumelifunga nyumbani dear lakini imebidi tubadili mwelekeo na AC maana baba watoto alikuwa haishi kulalamika kwa kelele za panga boi.
 
Back
Top Bottom