S Soaiod JF-Expert Member Sep 28, 2020 387 729 May 15, 2024 #21 Hawa wakimbiza mwenge wana military mindset ,wanafikiri kila mtu atafanya kazi sababu ya command ,wengine ili wafanye kazi wanahitaji soft language.
Hawa wakimbiza mwenge wana military mindset ,wanafikiri kila mtu atafanya kazi sababu ya command ,wengine ili wafanye kazi wanahitaji soft language.
O Open school JF-Expert Member Jul 13, 2015 543 649 May 15, 2024 #22 Mkurugenzi anajielewa walau kwenye suala la mwenge.