Mapokezi ya Mwenge wa Uhuru Ushetu

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,903
945
Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Emmanuel Cherehani akiwa na viongozi mbalimbali na wananchi wamejitokeza kuupokea Mwenge wa Uhuru leo 30 Julai, 2023 katika viwanja vya Kituo cha Afya Kagongwa Wilaya ya Kahawa.

Mwenge wa Uhuru Kahama-Shinyanga umepokelewa na kukimbizwa katika Miradi Sita (06) ya Maendeleo Kahama Mjini ikiwemo kupanda miti 500 katika Bwawa la Maji Nyihogo lililopo Halmashauri ya Manispaa ya Kahama ili kutunza mazingira

Mradi wa Barabara za Manispaa ya Kahama wenye jumla ya Kilomita 1.39 zinazojengwa kwa kiwango cha lami, umezinduliwa leo na kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru, Abdalla Shaib.

Akizungumza baada ya ukaguzi, Shaib amesema ameridhishwa na mradi huo wa barabara ambao unakwenda kuondoa changamoto ya vumbi na kuendana na ukuaji wa mji wa Kahama.

Aidha, Mwenge wa Uhuru umezindua Klabu ya Kupinga Rushwa katika Shule ya Sekondari Kagongwa, Manispaa ya Kahama ambapo Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa kwa mwaka 2023, Abdalla Shaibu ameongoza shughuli zote.

WhatsApp Image 2023-07-31 at 21.31.59.jpeg
WhatsApp Image 2023-07-31 at 21.32.01.jpeg
WhatsApp Image 2023-07-31 at 21.32.01(1).jpeg
WhatsApp Image 2023-07-31 at 21.33.17.jpeg
WhatsApp Image 2023-07-31 at 21.33.17(1).jpeg
WhatsApp Image 2023-07-31 at 21.33.18.jpeg
 
... wachawi wakubwa hao; kila mwaka kukimbiza mioto ulozi mtupu! Watanzania wanahitaji mioto? Waulizwe Chongolo, Kinana, na Wasira wanaonadi ufisadi.
 
Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Emmanuel Cherehani akiwa na viongozi mbalimbali na wananchi wamejitokeza kuupokea Mwenge wa Uhuru leo 30 Julai, 2023 katika viwanja vya Kituo cha Afya Kagongwa Wilaya ya Kahawa.

Mwenge wa Uhuru Kahama-Shinyanga umepokelewa na kukimbizwa katika Miradi Sita (06) ya Maendeleo Kahama Mjini ikiwemo kupanda miti 500 katika Bwawa la Maji Nyihogo lililopo Halmashauri ya Manispaa ya Kahama ili kutunza mazingira

Mradi wa Barabara za Manispaa ya Kahama wenye jumla ya Kilomita 1.39 zinazojengwa kwa kiwango cha lami, umezinduliwa leo na kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru, Abdalla Shaib.

Akizungumza baada ya ukaguzi, Shaib amesema ameridhishwa na mradi huo wa barabara ambao unakwenda kuondoa changamoto ya vumbi na kuendana na ukuaji wa mji wa Kahama.

Aidha, Mwenge wa Uhuru umezindua Klabu ya Kupinga Rushwa katika Shule ya Sekondari Kagongwa, Manispaa ya Kahama ambapo Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa kwa mwaka 2023, Abdalla Shaibu ameongoza shughuli zote.

View attachment 2704231View attachment 2704232View attachment 2704233View attachment 2704234View attachment 2704235View attachment 2704236
Ww utakuwa ni mzee lazima. Wazee ndio hushabikia huo ushirikina uitwao mwenge wa uhuru.
 
... wachawi wakubwa hao; kila mwaka kukimbiza mioto ulozi mtupu! Watanzania wanahitaji mioto? Waulizwe Chongolo, Kinana, na Wasira wanaonadi ufisadi.
Nikiingia Ikulu cha kwanza kufuta ni Mwenge wa uhuru
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom