Hivi Babu Seya hawezi kusamehewa?

Mkuu hebu kuwa serious

Huyo jamaa ana kesi ya ulawiti wa watoto wetu..Tena anafaa aozee jela milele

Hilo kosa alilofanya halipaswi kuvumiliwa kwenye jamii yetu

Avune alichopanda

Na wewe kama unammisi babu seya mlawiti unatia shaka
Kama upo hai bado utambue wazi kwamba huwezi kuzuia jua kwa mikono, Seya yupo huru sasa ila kama imekuuma unaweza kumbambikia kesi nyingine kwamba amekulawiti ili arudishwe gerezani!
 
TUJIKUMBUSHE

TAARIFA YA UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM) KWA VYOMBO VYA HABARI.
_______________
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jana Agosti 29 kimezindua kampeni zake katika viwanja vya Jangwani Jijini Dar es Salaam. Katika uzinduzi huo viongozi kadhaa wa Chama hicho walihudhuria, wakiwemo Waziri Mkuu mstaafu Fredrick Sumaye, Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya Ufisadi, Edward Lowassa pamoja na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Lawrance Masha ambao walihutubia mkutano huo wa ufunguzi.

Ni jambo la kushangaza kumsikia mgombea wa nafasi ya Urais kupitia CHADEMA, Edward Lowassa akihemewa na Kujikuta akishindwa kuikabili hadhira ya Watanzania wanaofikia milioni 45 kuwaelezea ana malengo gani ya urais, Chama chake kina dira na sera zipi za msingi, pia akizungumza bila kuonyesha mtiririko wa sera kupitia ilani ya Uchaguzi ya chama hicho.

Mgombea wa CHADEMA Lowassa ni dhahiri ameshindwa uchaguzi mkuu mapema, amebakia akilalama, kupiga soga na kujenga matumaini hewa kwa Watanzania huku akishindwa kujua ni changamoto zipi za msingi zinazowakabili wananchi katika maisha ya kila siku.

Lowassa akiwa anatetemeka jukwaani na kuongea kwa taabu amelizungumzia suala ambalo tayari *mahakama ya rufaa imekwisha litolea hukumu. Suala hilo ni kesi ya Mwanamuziki Nguza Vicking na mwanawe Johnson Nguza waliohukumiwa kifungo cha maisha jela kwa makosa ya ubakaji*.

*Mahakama imedhibitisha kuwa Nguza Vicking maarufu kama "Babu Seya" na mwanaye Johnson Nguza maarufu kama "Papii Kocha" ni *WABAKAJI, *WANAJISI na *WALAWITI*. Na hivyo wamehukumiwa *kifungo cha maisha gerezani kutokana na tabia hizo chafu katika jamii*.

*Lowassa anakuja na hadithi ya kuwaachia huru, kana kwamba anaona vyombo vya sheria vimewaonea na kuwakandamiza*. Ifahamike kati ya makosa ambayo yameainishwa katika sheria za Tanzania, kosa la ubakaji halina msamaha. Mbakaji hawezi kupewa msamaha wa Rais. *Msaidieni Lowassa maana anaonekana haijui sheria*.

Tangu *nchi* imepata *uhuru*, hakuna *Rais aliyewahi kutoa msamaha kwa wabakaji, wala walawiti*. Lowassa anaonekana kuchanganyikiwa. Ni dhahiri kwamba CHADEMA na mgombea wao Lowassa hawajajipanga kuongoza nchi. Hawana hoja za kuwasaidia watanzania, badala yake wanategemea siasa za matukio ili kujipatia kura. Tunaomba watanzania muwapuuze.

Imetolewa na:

Shaka Hamdu Shaka,
Kaimu Katibu Mkuu - UVCCM Taifa na Mjumbe wa NEC.
30 August 2015.
 
Mkuu mtoa mada kumbe alikuwa sahihi

Naona makaburi yanazidi kufukuliwa.... Dah akiba ya maneno ni muhimu

Kauli yako jana umeumbuka....
 
Wakuu Leo nimemkumbuka sana babu Seya..

Nimekumbuka kesi yake ya ubakaji hivi waliobakwa wako wapi wazazi wao hawawezi kumsamehe kama ni kweli .

He Serikali kama inaweza kuwasamehe waahujumu uchumi kama Mramba na Yona inashindwa nini kumsamehe babu yetu kifungo chake mbona ni kikali sana?.

Mbona watu wengi wanasamehewa tu kwa Babu yetu kosa lake hasa ni lipi?.

Wanasheri mnisaidie lakini Mimi ninachojua kesi yake sio kesi ya kawaida.

Ningependa kama Serikali inaweza kuwaachia wahujumu uchumi inashindwa nini kumuachia Babu yetu.

Nimekumiss sana Babu Seya..

Leo yamekuwa
 
Lakini Mbona mimi sioni huko kuumbuka kwao kwenyewe? Hiyo ndio misimamo yao binafsi, kwa wao wasingetoa misamaha ktk makosa ya aina hiyo, wao.

Lakini pia, huu ni msamaha. Sio kwamba imewaondolea ujinai walioufanya. Tuwe tunajaji mambo kwa hekima sana, wengi humu, wanashangilia kwa dhana kwamba, babu Seya na wanawe hawakuwa wamelitenda hilo kosa kabisa, ni legal technicalities tu ndizo zilizowaweka ndani, nalo linawezekana. Na kama ni hivyo tuna haki ya kushangilia sana, haki imetendeka kwa mgongo wa pili.

Kama kweli walitenda kosa hilo (nilishapata niseme hadithi tu ya kosa lenyewe), wapenzi, ndugu na jamaa zake furahini kimyakimya. Si picha nzuri kwa walioathiriwa na makosa yale. Mnaweza mkawajaza chuki, waliopatwa na madhira yale, ikawa jela kulikuwa mahali salama kwao kuliko mtaani, nasema kama walitenda kosa kweli, kama, kama.
 
Unakumbuka hii posti yako mkuu?

unakumbuka posti yako hii?
tatizo lenu bavicha ni kubwa sana; sidhani hata mnaelewa alichokifanya Rais Jana ni nini? ?

Kwa kuwasaidia tu Rais ametoa MSAMAHA kwa wafungwa haimaanishi kuwa kabatilisha hukumu ya mahakama. Hukumu ya mahakama inabatilishwa na maamuzi ya mahakama ya juu pekee.

Hivyo msamaha uliotolewa haumaanishi kuwa wahusika hawakutenda makosa; swala la kutenda au kutotenda limeshaamuliwa na mahakama.

Kilichopo sasa ni msamaha wa Rais jambo ambalo Lipo ndani ya utashi wake kwakua anamadaraka hayo kikatiba.
 
Wakati unacomment siku hyo, hukuyajua haya..???
 
Mtu akikukosea akafungwa na Jamhuri, unaweza kwenda kuiomba Jamhuri kuwa jamaa nimemsamehe naomba afunguliwe?
 
Back
Top Bottom