Hivi Babu Seya hawezi kusamehewa?

Hivi Babu Seya hawezi kusamehewa?

Wakuu Leo nimemkumbuka sana babu Seya..

Nimekumbuka kesi yake ya ubakaji hivi waliobakwa wako wapi wazazi wao hawawezi kumsamehe kama ni kweli .

He Serikali kama inaweza kuwasamehe waahujumu uchumi kama Mramba na Yona inashindwa nini kumsamehe babu yetu kifungo chake mbona ni kikali sana?.

Mbona watu wengi wanasamehewa tu kwa Babu yetu kosa lake hasa ni lipi?.

Wanasheri mnisaidie lakini Mimi ninachojua kesi yake sio kesi ya kawaida.

Ningependa kama Serikali inaweza kuwaachia wahujumu uchumi inashindwa nini kumuachia Babu yetu.

Nimekumiss sana Babu Seya..
Ili asamehewe jitokeze uwe unampa kile anapenda ili watoto wetu wawe salama.
 
Kinachowaweka hao jamaa behind bars kipo kisiasa zaidi na sio kama hvo mnavoaminishwa eti wamefungwa kwa kosa la kulawiti. Naishia hapa kwa leo.
 
Wakuu Leo nimemkumbuka sana babu Seya..

Nimekumbuka kesi yake ya ubakaji hivi waliobakwa wako wapi wazazi wao hawawezi kumsamehe kama ni kweli .

He Serikali kama inaweza kuwasamehe waahujumu uchumi kama Mramba na Yona inashindwa nini kumsamehe babu yetu kifungo chake mbona ni kikali sana?.

Mbona watu wengi wanasamehewa tu kwa Babu yetu kosa lake hasa ni lipi?.

Wanasheri mnisaidie lakini Mimi ninachojua kesi yake sio kesi ya kawaida.

Ningependa kama Serikali inaweza kuwaachia wahujumu uchumi inashindwa nini kumuachia Babu yetu.

Nimekumiss sana Babu Seya..
kuna yule politician aliahhidi kwenye kampeni ya urais kuwa akishinda atamtoa na atamleta al marhun Balali, nilimpigia kura lakini hazikutosha, nasubiri 2020
 
Yani unaacha kuwahurumia wazee na wagonjwa waliofungwa kwa makosa ya wizi wa kuku na bata,unahurumia wabakaji?wacha wafie huko,watu kama babu seya hawatakiwi ktk jamii ya watanzania.
 
Mkuu ameshaexhaust remedies zote! Mpaka mahakama ya rufani imemtia hatiani! Maamuzi ya mahakama ya rufani huwa sio ya kubeza mkuu, ingawa nao ni binadamu ila wale wazee huwa wanatulia sana wakitoa maamuzi yao! Tuache siasa, hazina faida!
Hivi yale naneno ya kitaa, kusema alishea ama kula sahani moja na mukulu, yaani alikuwa anatizamia anapotoweza mkubwa, na yeye anachovya! Kunaukweli wowote?
Mashaka ni kwamba mahakama zetu zilikuwa zimepoteza uelekeo katika kutoa haki.
Mwenye pesa na mwenye mamlaka alikuwa na nguvu sana katika kupoka haki ya mnyonge.
Ukisikiliza ushahidi uliotolewa upande wa mashitaka dhidi yake, unabaki kujiuliza, hivi mambo kama hayo na namna yalivyofanyika,ni kweli aliyafanya?
Kulawiti msururu wa watoto wadogo tena kwa kupokezana na wanao wa kuzaa mwenyewe! Matendo hayo ukiyafikiria kufanywa na mtu mzima asiye dosari kichwani mwake inatia shaka.
Kabla ya hukumu alipimwa afya ya akili?
 
Wakuu Leo nimemkumbuka sana babu Seya..

Nimekumbuka kesi yake ya ubakaji hivi waliobakwa wako wapi wazazi wao hawawezi kumsamehe kama ni kweli .

He Serikali kama inaweza kuwasamehe waahujumu uchumi kama Mramba na Yona inashindwa nini kumsamehe babu yetu kifungo chake mbona ni kikali sana?.

Mbona watu wengi wanasamehewa tu kwa Babu yetu kosa lake hasa ni lipi?.

Wanasheri mnisaidie lakini Mimi ninachojua kesi yake sio kesi ya kawaida.

Ningependa kama Serikali inaweza kuwaachia wahujumu uchumi inashindwa nini kumuachia Babu yetu.

Nimekumiss sana Babu Seya..

Kama angelawiti mtoto,mdogo au ndugu yako aliye Umri wa Shule ya Msingi pia ungetaka asamehewe?
 
Wakuu Leo nimemkumbuka sana babu Seya..

Nimekumbuka kesi yake ya ubakaji hivi waliobakwa wako wapi wazazi wao hawawezi kumsamehe kama ni kweli .

He Serikali kama inaweza kuwasamehe waahujumu uchumi kama Mramba na Yona inashindwa nini kumsamehe babu yetu kifungo chake mbona ni kikali sana?.

Mbona watu wengi wanasamehewa tu kwa Babu yetu kosa lake hasa ni lipi?.

Wanasheri mnisaidie lakini Mimi ninachojua kesi yake sio kesi ya kawaida.

Ningependa kama Serikali inaweza kuwaachia wahujumu uchumi inashindwa nini kumuachia Babu yetu.

Nimekumiss sana Babu Seya..
Jibu la Swali lako ultimate kwa watoto waliofanyiwa vitendo vya kunajisiwa na wazazi wao. Jiepushe na udhanifu bila kuwa na taarifa sahihi
 
Hiv kama mtoto wako wa miaka saba angekuwa anamyonya sehemu za siri babu Sea na wewe ukashuhudia live ungemsamehe?
 
Mkuu, hivi kuna kazi nyingine unafanyaga? Mbakaji na Mlawiti utamsameheje?
Baba yetu namwita yeye mfalmee, sinung'uniki sina viatu wengine hawana miguu,si Kazi yako ni ya mamani. [HASHTAG]#TunafukuaMakaburi[/HASHTAG].
Mkuu hebu kuwa serious

Huyo jamaa ana kesi ya ulawiti wa watoto wetu..Tena anafaa aozee jela milele

Hilo kosa alilofanya halipaswi kuvumiliwa kwenye jamii yetu

Avune alichopanda

Na wewe kama unammisi babu seya mlawiti unatia shaka

akiingia Lowasa madarakani mwaka 2050 atamsamehe huyo mlawiti na mbakaji.

Hiyo ni moja wapo ya Sera ya ukawa, kuwaachia huru wanaolawiti Watoto wadogo hata baada ya chombo huru kama mahakama kutoa maamuzi yake!

Lowassa tu ndo anweza samehe wabakaji na walawiti.

Si katika viongozi wanaofuata sheria.

Muulize Lowassa atakujibu.

Muache akili ndogo hizi. Ni sera ya CHADEMA 2015 kumtoa Babu Seya na Kumleta Balal.
 
Back
Top Bottom