MAJIYAPWANI
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 966
- 1,225
B
bt mi nimekukumbusha ila naona unaruka futi mia haya tujifunze kuweka akiba za manenotatizo lenu bavicha ni kubwa sana; sidhani hata mnaelewa alichokifanya Rais Jana ni nini? ?
Kwa kuwasaidia tu Rais ametoa MSAMAHA kwa wafungwa haimaanishi kuwa kabatilisha hukumu ya mahakama. Hukumu ya mahakama inabatilishwa na maamuzi ya mahakama ya juu pekee.
Hivyo msamaha uliotolewa haumaanishi kuwa wahusika hawakutenda makosa; swala la kutenda au kutotenda limeshaamuliwa na mahakama.
Kilichopo sasa ni msamaha wa Rais jambo ambalo Lipo ndani ya utashi wake kwakua anamadaraka hayo kikatiba.