Hivi Babu Seya hawezi kusamehewa?

HuUOTE="stroke, post: 19253191, member: 90498"]Hiyo ni moja wapo ya Sera ya ukawa, kuwaachia huru wanaolawiti Watoto wadogo hata baada ya chombo huru kama mahakama kutoa maamuzi yake![/QUOTE]
Huna aibu wewe
 
Daaaa! umenikumbusha kibwagizo fulani
" vaa vizuri mpenzi wangu upendezee
Donge liwashike,mabusu moto moto
mimi nawewe mpaka kufaaa
Uuuuuuusiwasikilize hao wanaotaka kuharibu mapeeenzi yetu""
anyway Mungu ndio anajua kama kweli walifanya hicho kitendo,duniani ni ubatili mtupu

Tawi la ccm mitandaoni

Jukwaa hili ni tamu mno!
Haki vile Long live jf
Nimekusoma mkuu
 
Back
Top Bottom