Hivi Babu Seya hawezi kusamehewa?

Hivi Babu Seya hawezi kusamehewa?

Mkuu hebu kuwa serious

Huyo jamaa ana kesi ya ulawiti wa watoto wetu..Tena anafaa aozee jela milele

Hilo kosa alilofanya halipaswi kuvumiliwa kwenye jamii yetu

Avune alichopanda

Na wewe kama unammisi babu seya mlawiti unatia shaka
Te te te te
 
C
Mkuu ameshaexhaust remedies zote! Mpaka mahakama ya rufani imemtia hatiani! Maamuzi ya mahakama ya rufani huwa sio ya kubeza mkuu, ingawa nao ni binadamu ila wale wazee huwa wanatulia sana wakitoa maamuzi yao! Tuache siasa, hazina faida!
Njoo uone huku
Ktk siasa kila kitu kinawezekana
 
Kesi ya wizi wa pesa inasameheka coz pesa inatafutwa lakini so heshima dignity ya mtu once destroyed haitakuja irudi na ndo sababu hatuwez kumsamehe babu seya

Af na wewe katika watu wote dunian hapa umekosa wa kummic mpk ukammic huyo mlawiti wa watoto.....
Ooops
 
Back
Top Bottom