Hivi Babu Seya hawezi kusamehewa?

Hivi Babu Seya hawezi kusamehewa?

technically,kesi ya babu seya sio yeye ndio kabaka, ila alikua anawadanganyia watoto, wanabakana halafu yeye anachukua picha, anatengeneza movie anaenda kuuza nje.

na ndio maana kesi yake ni ya kuwazalilisha watoto kingono,usiombe ujinga huu atokee muhuni mmoja mtaani kwako akawafanyia hivyo watoto wako au wadogo zako,utatani ukamchinje mwenyewe kwa mkono wako.

watu wengi wanaifafanua kesi hii kishabiki. hawaifaham vizuri.
 
Siamini kama huu ndio mwisho wako wa kufikiri
 
technically,kesi ya babu seya sio yeye ndio kabaka, ila alikua anawadanganyia watoto, wanabakana halafu yeye anachukua picha, anatengeneza movie anaenda kuuza nje.

na ndio maana kesi yake ni ya kuwazalilisha watoto kingono,usiombe ujinga huu atokee muhuni mmoja mtaani kwako akawafanyia hivyo watoto wako au wadogo zako,utatani ukamchinje mwenyewe kwa mkono wako.

watu wengi wanaifafanua kesi hii kishabiki. hawaifaham vizuri.
Nimepata mwanga kidogo hapo kumbe ndivyo ilivyo.....

Safi sana Kwa maelezo mazuri...

Daaah ..
 
Wakuu Leo nimemkumbuka sana babu Seya..

Nimekumbuka kesi yake ya ubakaji hivi waliobakwa wako wapi wazazi wao hawawezi kumsamehe kama ni kweli .

He Serikali kama inaweza kuwasamehe waahujumu uchumi kama Mramba na Yona inashindwa nini kumsamehe babu yetu kifungo chake mbona ni kikali sana?.

Mbona watu wengi wanasamehewa tu kwa Babu yetu kosa lake hasa ni lipi?.

Wanasheri mnisaidie lakini Mimi ninachojua kesi yake sio kesi ya kawaida.

Ningependa kama Serikali inaweza kuwaachia wahujumu uchumi inashindwa nini kumuachia Babu yetu.

Nimekumiss sana Babu Seya..

Watu wakikubaka wewe uteweza kuwasamehe??kama jibu ni ndio basi hiyo itakuwa ni michezo yako uliyokwisha izoea kufanyiwa.
 
technically,kesi ya babu seya sio yeye ndio kabaka, ila alikua anawadanganyia watoto, wanabakana halafu yeye anachukua picha, anatengeneza movie anaenda kuuza nje.

na ndio maana kesi yake ni ya kuwazalilisha watoto kingono,usiombe ujinga huu atokee muhuni mmoja mtaani kwako akawafanyia hivyo watoto wako au wadogo zako,utatani ukamchinje mwenyewe kwa mkono wako.

watu wengi wanaifafanua kesi hii kishabiki. hawaifaham vizuri.
Watu bado wana fikra za mtaani, eti wimbo wa salima umemgombanisha na JK. Tz bana. Hilo ndo kosa alilolitenda. Msamaha utoke wapi hapo?
 
Mi sidhani kama waliwalawiti wale watoto
 
Watu bado wana fikra za mtaani, eti wimbo wa salima umemgombanisha na JK. Tz bana. Hilo ndo kosa alilolitenda. Msamaha utoke wapi hapo?

halafu jamaa mwenyewe ndie alieustukia huu mchezo,si unajua ni mtu wa kujichanganya,

wakati yupo dunia huko amemuona jamaa yake mzungu anachek,jamaa kahoji nini hicho!mzungu akamjibu unashangaa wakati mambo ya kwenu haya!
ukumbuke kuna watu wengine hawana ashk hadi waone vitu vya namna hiyo.
basi jamaa akashangaa kuona ni vitoto.ukumbuke pia kipindi kile jamaa alikua wa mambo ya duniani kama mwenyewe anavyosemaga.
alipoludi tu ndio wakatuma wapelelezi na kwakua muhusika keshazoea michezo yake,nakumbuka kipindi kile alikua tibaigana kama sijakosea akawanasa.
 
Wakuu Leo nimemkumbuka sana babu Seya..

Nimekumbuka kesi yake ya ubakaji hivi waliobakwa wako wapi wazazi wao hawawezi kumsamehe kama ni kweli .

He Serikali kama inaweza kuwasamehe waahujumu uchumi kama Mramba na Yona inashindwa nini kumsamehe babu yetu kifungo chake mbona ni kikali sana?.

Mbona watu wengi wanasamehewa tu kwa Babu yetu kosa lake hasa ni lipi?.

Wanasheri mnisaidie lakini Mimi ninachojua kesi yake sio kesi ya kawaida.

Ningependa kama Serikali inaweza kuwaachia wahujumu uchumi inashindwa nini kumuachia Babu yetu.

Nimekumiss sana Babu Seya..
Kwani alikosa nini?
 
Watu bado wana fikra za mtaani, eti wimbo wa salima umemgombanisha na JK. Tz bana. Hilo ndo kosa alilolitenda. Msamaha utoke wapi hapo?

halafu jamaa mwenyewe ndie alieustukia huu mchezo,si unajua ni mtu wa kujichanganya,

wakati yupo dunia huko amemuona jamaa yake mzungu anachek,jamaa kahoji nini hicho!mzungu akamjibu unashangaa wakati mambo ya kwenu haya!
ukumbuke kuna watu wengine hawana ashk hadi waone vitu vya namna hiyo.
basi jamaa akashangaa kuona ni vitoto.ukumbuke pia kipindi kile jamaa alikua wa mambo ya duniani kama mwenyewe anavyosemaga.
alipoludi tu ndio wakatuma wapelelezi na kwakua muhusika keshazoea michezo yake,nakumbuka kipindi kile alikua tibaigana kama sijakosea akawanasa.
 
halafu jamaa mwenyewe ndie alieustukia huu mchezo,si unajua ni mtu wa kujichanganya,

wakati yupo dunia huko amemuona jamaa yake mzungu anachek,jamaa kahoji nini hicho!mzungu akamjibu unashangaa wakati mambo ya kwenu haya!
ukumbuke kuna watu wengine hawana ashk hadi waone vitu vya namna hiyo.
basi jamaa akashangaa kuona ni vitoto.ukumbuke pia kipindi kile jamaa alikua wa mambo ya duniani kama mwenyewe anavyosemaga.
alipoludi tu ndio wakatuma wapelelezi na kwakua muhusika keshazoea michezo yake,nakumbuka kipindi kile alikua tibaigana kama sijakosea akawanasa.
Mmmmmhhh sawa inaoneka una data
 
Askof mkuu wa kkkt alipinga ile kesi kwa kuhisi yazungumzwayo mtaani ni kweli, alipopewa ule ushaidi naskia ukristo aliuweka pembeni, akasema adhabu ni ndogo, anyongwe kabisa.
 
Duh.......sema maneno ya mtaani yanakuwa kwa kasi kuliko ukwel wenyew
 
Back
Top Bottom