HIV inanitesa

HIV/kansa/kisukari ni conditions zinazoshabihiana sana.ushauri wangu hudhuria kiliniki mara kwa mara utapata ushauri mzuri wa kukufanya uishi kwa amani.
 
Kwanza nakupongeza xana kwa ujasiri wako wa kujitunza mpaka leo pia ...kufunga kwao umesadia wengi hata wale waliokataa tamaa watakuwa wamefarijika xana .
 
Kuna kaka alinyang'anywa mke kisa HIV+ alikuja hapa jamvini,
mwingine anatafuta mume mwenye HIV+ hapa hapa jamvini,
Na huyu dada amejitokeza kuwa ni HIV+ kumbe tuko wengi japo hatujapima afya zetu.
NAOMBA MODS WAUWEKE HUU UZI UWE WA KUDUMU.
 
i;a hapa mkuu ushaharibu tayari daaah!!!!
sasa nao kama hawajijui si ndo wataumia wengi....!!!!
 
pole sana mamii! kuwa na HVI sio mwisho wa kuishi mwaya zidi Kumwomba mungu kwa iman nae atakuwa faraja kubwa katika maisha yako usikate tamaa mpendwa!
 
Inabidi tuunde kikundi chetu sie waathirika wa HIV+ humu Jamii Forums ili kuweza kutambuana na pia kupambana na changamoto mbalimbali zinazotukabili kuhusu unyanyapaa kutoka kwa baadhi ya watu hasa wanawake wenzetu.
 
Akatae kumpa papuchi bila kinga, asimwambie kuwa ni hiv+
 
Weka picha sisi tutajua!
 
Inabidi tuunde kikundi chetu sie waathirika wa HIV+ humu Jamii Forums ili kuweza kutambuana na pia kupambana na changamoto mbalimbali zinazotukabili kuhusu unyanyapaa kutoka kwa baadhi ya watu hasa wanawake wenzetu.
Mnaunda kikundi cha majina ya #HIV+ na #Madame-B?
 
Inabidi tuunde kikundi chetu sie waathirika wa HIV+ humu Jamii Forums ili kuweza kutambuana na pia kupambana na changamoto mbalimbali zinazotukabili kuhusu unyanyapaa kutoka kwa baadhi ya watu hasa wanawake wenzetu.

Duuu Mbona haukuniambia kama tayari umeniacha nile goti vukavuka.
 
Duuuh.. upo siriaz?
 
Mmmmhhhh wewe!!!
 
Unajua wakati naanzana na wewe sikujitambua kama nimeathirika....ila baada ya kuandamwa na homa zisizoisha pamoja na upele mwilini ndipo nilipopata wazo la kwenda kucheck afya yangu, hapo ndipo majibu yalipokuja kuwa nimeathirika.
Ila nakushauri nawe ukapime afya ili ujue kama umeathirika au la.
 
Duuuh.. upo siriaz?

Niko serious matumbo.
Na kama kuna mtu alishawahi kuja pm kwa ajili ya kunitongoza na nikaamua kulala nae basi ajue nae amekwisha, maana humu nina Id zaidi ya 18 na karibia zote zilikuwa zinashinda jukwaa la Love connect.
Hivyo huwezi kujua kama nawe uko kwenye mkumbo wa kusubiri kuingia katika chama chetu au laaa!
 
Last edited by a moderator:
Mmmmhhhh wewe!!!

Dena Amsi....nafurahi kujitambua kama ninaishi na virusi visababishavyo UKIMWI...yaani H.I.V
Japo awali nilishindana na nafsi yangu katika kuukubali ukweli lakini, kadri muda unavyoendelea nikajikuta hali ile inabadilika na kuvaa uamini wa jambo.
Now naishi kwa matumaini na Mungu mkubwa nayashinda ya Dunia.
 
Last edited by a moderator:
Inabidi tuunde kikundi chetu sie waathirika wa HIV+ humu Jamii Forums ili kuweza kutambuana na pia kupambana na changamoto mbalimbali zinazotukabili kuhusu unyanyapaa kutoka kwa baadhi ya watu hasa wanawake wenzetu.

Wife, ina maana na wewe unao?!?!!??
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…