HIV inanitesa

Sidhani kama ni umuhimu wa network yenu ila tungeomba JF waweke jukwaa la kujadili ukimwi. watakaotaka kujifunza na kuelimishana basi wawe wanachati bila kuangalia kuwa huyu ameathirika au la. Pole saaana dada. Mwamini Mungu.
 
Nkupe kompany 0656404721
 
Mleta mada usihofu, jikubali, uwe mwangalifu usitake kabisa kuambukiza mtu mwingine. Weka wazi kuwa uko positive na anayelazimisha mapenzi bila kinga kataa. Pia kama utajiunga katika social network za PLWA kule unaweza kumpata mpenzi ambaye mna status moja na ikawa rahisi kuwa wapenzi kwa kufuata taratibu zake. Kila binadamu ni natural being na social life is the part kwa hiyo tusione vibaya ni kwa nini hawa wenzetu wa HIV+ wanahitaji pia masuala ya mapenzi. Na si lazima u-break the silence hata kwa wasio kuhusu. La hasha, kama si lazima si lazima kusema pia. It is your life na furahia. Kuna mtu namfahamu toka 1995 ni HIV+ na ni mzima wa afyam just accept the situation. Mbona wa cancer wanakufa in a short time, pressure, kisukari, etc. Utaishi maisha marefu sana ili mradi uwe unakula vyakula balanced ili CD4 zisishuke uanze kutumia ARVs kwa kuwa zimeonekana ubora wake kuchaachuliwa. Keep it up for sharing.
 
UDSM natamani nikuone! kama ulivyosema mwisho unajukumu kubwa kuwalinda wale ambao hawajaadhirika.
 
Kwa vigezo hapati mzuka unaostahili....mbona tunapelekana kubaya bila sababu. Duuh!

Yeeesss!! sasa unajiuliza ni mzuka upi huo??? wa nyama kwa nyama au mzuka wa kukuambukiza vizuri?
 
gonjwa mmelitafuta alafu hamtaki watu kuwanyanyapa ebo!!! wee kama una ngoma ujue watu watakuwa wanakukwepa tuu. sasa kubaliana na hali hiyo kuwa muwazi kwa hao wanaokutaka kukumega bila ndomu
Mzabzab hivi kama una ufahamu mzuri kuhusu ukimwi unavyoambukizwa, maneno uliyoandika hapa si mema kabisa, inakuwaje kama mtoto amezaliwa hivyo? umeongezewa damu chafu, umepata ajali ukaabukizwa, tafadhali think again ulichoandika hapa, hakuna mtu anayetafuta ukimwi ndugu yangu.. ni matokeo tu!
 
Reactions: ram
Wewe ni mmoja wao

Unajua mwalimu kuna watu wanakurupuka tu kuvamia thread bila kuisoma vizuri na in totality.......na hii inasababisah hata watu kufeli mitahani kwa kukimbilia kujibu maswali bila kuyasoma vizuri
 
Lol! Si ajabu wewe mwenyewe ni muathirika, usimyooshe mwenzio kidole andalaia hivyo vidole vinne vinamuelekea nanai, huna haya wewe

gonjwa mmelitafuta alafu hamtaki watu kuwanyanyapa ebo!!! wee kama una ngoma ujue watu watakuwa wanakukwepa tuu. sasa kubaliana na hali hiyo kuwa muwazi kwa hao wanaokutaka kukumega bila ndomu
 
am sorry to say this but mathematics doesnt lie na ukweli ni kwamba over 90% ya maambukizi utokea through sex. sasa i do sympathize na wale wanandoa waaminifu ambao mwenzi wao ndio anakuja kuwapa gonjwa nd watoto. ila huyu dada kaonyesha kabisa kwanza yeye sio responsible....totaly reckless na hana ubinadamu. yeye anajijua na ngoma then anaenda kumegwa na watu bila kinga and u want me to recant my statement!?? hilo hapa alilitaka mwenyewe sasa asilaumu watu kuwa wanawanyanyapaa hapa. its the life u choose the price u pay.
 
Pole shosti usijali kila binadamu hukosea,zidi kumuomba mwenyezi mungu na fuata masharti na mungu atakusaidi kwani hakuna kubwa kwa mungu wala usife moyo...........
 
am just calling a spade a spade. i can empathize na hali yake but i will not sympathize....watu wanaambiwa kila leo jamni be careful wait msiufwate utamu huo mtakufa au use condom watu hawataki...basi kubaliana na matokeo ya choices zako.
 
usicheke kilema hujafa hujaumbika na wala yeye hakuomba,sio vizuri huko ndio kunyanyapaa kwenyewe.........

Nimecheka wapi kilema kipi? Hivi umesoma alichoandika au unakurupuka tu.......kwa taarifa yako toka 2008 amegundulika anao na bado akaendelea kugawa papuchi..sasa unataka tumsifie kwa lipi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…