History in the making: NASA’s Juno spacecraft arrives at Jupiter!

mkuu hapa hakuna Mafanikio yeyote kwa Dunia Bali ni Uharibifu kwa Dunia.

Hawa wana sayansi ndiyo chanzo cha uaribifu, kila kukicha wana Mchokonoa Mungu.

Wewe unajua ni Athari gani zinaweza kutokea pindi makosa yanapotokea kwa wao kurusha vyombo hivyo kwenye sayari?

Embu tujiulize mabadiliko ya tabia nchi na ali ya hewa yanatokana na nini?

Magonjwa mbali mbali kwa wanadam, ambayo haya kuwepo yanatokana na nini?

Wanadamu watajiangamiza wenyewe kwa kujifanya wanajua maarifa kuliko Mungu.

Asikiaye na Afahamu.
Acha mambo ya u primitive wewe, bila sayansi unafikiri tungekuaje
 
mkuu hapa hakuna Mafanikio yeyote kwa Dunia Bali ni Uharibifu kwa Dunia.

Hawa wana sayansi ndiyo chanzo cha uaribifu, kila kukicha wana Mchokonoa Mungu.

Wewe unajua ni Athari gani zinaweza kutokea pindi makosa yanapotokea kwa wao kurusha vyombo hivyo kwenye sayari?

Embu tujiulize mabadiliko ya tabia nchi na ali ya hewa yanatokana na nini?

Magonjwa mbali mbali kwa wanadam, ambayo haya kuwepo yanatokana na nini?

Wanadamu watajiangamiza wenyewe kwa kujifanya wanajua maarifa kuliko Mungu.

Asikiaye na Afahamu.
bila science hata jf isingekuwepo
 
mimi niseme wazi kabisa kwamba Nina Elimu ya Mungu.

Na nilazima niisadiki kwa kuwa Mungu ni Ukweli na Mungu siyo Sayansi.

Maana hata wana Sayansi Hawaamini kuwa kuna Mungu, nikufahamishe hilo kama hulijui.

Ndiyo maana wanasayansi wanasema wa Africa wanatokana na Nyani na wewe unachekelea.

Jiulize kama wewe mtu mweusi unatokana na Nyani wao wanatokana na Nini?

Jitambue mkuu. Kuwa Mchunguzi wa Mambo kabla ya kushangilia jambo.
Wewe dini badala ya kukuerimisha imekupofua, dini haiko hivyo sababu hata hiyo simu/computer unayotumia kuandika hapa jf ni matunda ya wanasayansi, siku njema
 
Na sisi tunajivunia kua na mabasi ya mwendo kasi, haya ni mafanikio pia
Ahahaha umenichekesha sana
Miaka karibia 50 iliyopita,Mwl Nyerere alipewa mradi huo na nchi moja ya Ulaya Mashariki tukaziita Ikarus Kumbakumba!Ni aubu sana hadi leo tunang'ang'ania miradi ya kale kama hii wkt Ethiopia tu hapo wana tren za kisasa!!
IMG_7497.jpg
 
Kitu kinakimbia speed ya 165,000 Mph inakuwaje hakiwaki moto???? Naomba mtaalam wa physics anielimishe please!
 
Setelite iitwayo Juno imefika salama salimin katika sayari ya Jupiter. Setelie hii imefika saa 06:15 a.m. Setelite hii ilitumwa na jopo la wana sayansi wa marekani mwaka 2012. huu ndo mwaka wa tano ikiwa inasafiri tu.

Setelite hii itakaa huko kwa kiasi cha takriban mwaka mmoja na nusu, harafu itarudi dunian. itakuwa imechukua information mhimu kuhusu sayar ya jupiter.

Kumbuka kuwa sayar ya jupiter ni kubwa mno kiasa cha dunia kuingia mara 1000.

Funzo. waafrika tuache kulogana, fitina roho mbaya zisizo na misingi. wakat sisi tumeendekeza uchawi, fitina, umaskin, umbea, elimu za kuunga unga wenzetu wanarusha setelite kwa miaka mitano mpaka jupter. Kesho na kesho kutwa utasikia wameenda kuishi huko.
Hapo uliposema itarudi duniani umedanganya mkuu!
 
We ni jinga kabisa umewah ona anayesal kanisan anapinga elimu? Utakuwa wale wale wa udom walirudishwa.

Dini inakupeleka ujingani.

Wasingewekeza kwenye tafiti mbalimbali hata hii internet unayoitumia kuweka huu ujinga wako usingekuwa nayo.

Endelea kulala na kushinda huko kanisani, waache wanaojaribu na walio serious wafanye.
 
Kitu kinakimbia speed ya 165,000 Mph inakuwaje hakiwaki moto???? Naomba mtaalam wa physics anielimishe please!
Kwenye space ni vacuum so hakuna resistance ya aina yoyote ndio maana wanaweza kufikia hiyo speed,na kuzuia spacecraft zisiwake moto kutokana na high speed wanatumia heat shield (special material) na correct shapes(something like mishale) , ni same technology inayotumika kwenye ballistic missiles maana ili zikudungue lazima ziingie kwenye space kwanza
 
mimi niseme wazi kabisa kwamba Nina Elimu ya Mungu.

Na nilazima niisadiki kwa kuwa Mungu ni Ukweli na Mungu siyo Sayansi.

Maana hata wana Sayansi Hawaamini kuwa kuna Mungu, nikufahamishe hilo kama hulijui.

Ndiyo maana wanasayansi wanasema wa Africa wanatokana na Nyani na wewe unachekelea.

Jiulize kama wewe mtu mweusi unatokana na Nyani wao wanatokana na Nini?

Jitambue mkuu. Kuwa Mchunguzi wa Mambo kabla ya kushangilia jambo.

Habari,

Pole kwa mgogoro katika mada. Nikwambie tu kuwa SAYANSI HUIJUI KWA KIWANGO KINACHOTOSHA. Unapomwambia mtu achunguze kabla ya kushangilia wewe pia unatakiwa kufanya vivyo hivyo. Sasa soma hapa:
  1. Si kweli kuwa wanasayansi "WOTE" hawaamini kuwepo kwa Mungu.. tatizo ni mitizamo ya dini kuwahi ku-conclude "hapa ni Mungu tu" hata katika masuala yanayohitaji utafiti tu. Unamfahamu Mwanasayansi Michael Faraday? Unafahamu mtizamo wake juu ya dini? Hapa ni nukuu fupi toka link hii ya Wikipedia "Faraday was a devout Christian;...... he served as deacon and for two terms as an elder in the meeting house of his youth. ......... Biographers have noted that "a strong sense of the unity of God and nature pervaded Faraday's life and work"
  2. Wanasayansi gani wanasema Waafrika wanatokana na nyani? Wewe umesoma mwenyewe au umesimuliwa kuwa wanasema hivyo? Kama umesoma niambie chanzo cha kauli yako. Kifupi nikwambie hakuna sehemu yoyote yenye majumuisho (conclusion) ya kisayansi iwe fact ama nadharia (theory) ya sayansi inayosema hivyo. Nasubiri ushahidi.
Mwisho, niko tayari kujibu maswali yako yote juu ya "ubaya" na "utata" wa sayansi dhidi ya dini. Kama una maswali ambayo watu wamekuambia au wewe mwenyewe yanakutatiza juu ya sayansi uliza, niko hapa kukujibu na kukuondolea mashaka. Nitajitahidi kukujibu kwa ushahidi. Kama ni wewe ni Mkristo itakuwa rahisi maana ndiyo dini niijuayo vizuri zaidi kuliko zingine.

HAYA, KARIBU UULIZE MASWALI.
 
Ahahaha umenichekesha sana
Miaka karibia 50 iliyopita,Mwl Nyerere alipewa mradi huo na nchi moja ya Ulaya Mashariki tukaziita Ikarus Kumbakumba!Ni aubu sana hadi leo tunang'ang'ania miradi ya kale kama hii wkt Ethiopia tu hapo wana tren za kisasa!!
IMG_7497.jpg
Ni sawa na mtu anaye jivunia na kushangilia kama zuzu wakati anapo kuta buku kwenye mfuko wake wa suruali au wallet yake.

Tumerudi miaka 50 kuanza upya. Tumebadili rangi tuu.

[emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Setelite iitwayo Juno imefika salama salimin katika sayari ya Jupiter. Setelie hii imefika saa 06:15 a.m. Setelite hii ilitumwa na jopo la wana sayansi wa marekani mwaka 2012. huu ndo mwaka wa tano ikiwa inasafiri tu.

Setelite hii itakaa huko kwa kiasi cha takriban mwaka mmoja na nusu, harafu itarudi dunian. itakuwa imechukua information mhimu kuhusu sayar ya jupiter.

Kumbuka kuwa sayar ya jupiter ni kubwa mno kiasa cha dunia kuingia mara 1000.

Funzo. waafrika tuache kulogana, fitina roho mbaya zisizo na misingi. wakat sisi tumeendekeza uchawi, fitina, umaskin, umbea, elimu za kuunga unga wenzetu wanarusha setelite kwa miaka mitano mpaka jupter. Kesho na kesho kutwa utasikia wameenda kuishi huko.
MKUUU wa africa tuna amini kua kilajambo mungu ndo hupanga hivyo sisi tunapaswa tu kula na kulala,rejea ile imani yetu ya kua kila mtoto huja na riziki yake hivyo si tunazaaa tuu.leo tunatumia hi simu na computer bila hata aibu kwa kudhani hivi vitu vilishuka tu kwa mapenzi ya mungu.wenzetu wana wekeza kwenye elimu yenye tija kwa taifa sisi tunawekeza kwenye elimu ya kulundika tu ma vyeti ndani ndo maana tuna maprofesor wa sayansi ambao wanateuliwa kufanya kazi za kisiasa na wanakubali.alafu bado tunaaminishana kua tanzania yenye viwanda inakuja na tunakaa tukishangiliaa.
 
Tukisema wenzetu walipewa akili watu watabisha wakati hapa kwetu mambo madogo kama uchaguzi tu watu wanakwiba kura je kuvumbua vitu si hadithi
Hata kuiba kura nako kunahitaji akili
 
Setelite iitwayo Juno imefika salama salimin katika sayari ya Jupiter. Setelie hii imefika saa 06:15 a.m. Setelite hii ilitumwa na jopo la wana sayansi wa marekani mwaka 2012. huu ndo mwaka wa tano ikiwa inasafiri tu.

Setelite hii itakaa huko kwa kiasi cha takriban mwaka mmoja na nusu, harafu itarudi dunian. itakuwa imechukua information mhimu kuhusu sayar ya jupiter.

Kumbuka kuwa sayar ya jupiter ni kubwa mno kiasa cha dunia kuingia mara 1000.

Funzo. waafrika tuache kulogana, fitina roho mbaya zisizo na misingi. wakat sisi tumeendekeza uchawi, fitina, umaskin, umbea, elimu za kuunga unga wenzetu wanarusha setelite kwa miaka mitano mpaka jupter. Kesho na kesho kutwa utasikia wameenda kuishi huko.

Haiwezi kurudi duniani, satellite zote zikifa zinapotelea huku na kuchafua space. Ila kwa hii, baada ya miezi 18 itaacha orbit na kuingia kwenye uso wa Jupiter huku ikipiga picha za mwisho za Jupiter surface. Mwisho itakufa huko kwa radiations za Jupiter na story yake itaishia hapo.
 
KWAHIYO IKIFIA HUKO. Na hao watu waliomo ndani yake inakuaje?
 
Back
Top Bottom