History in the making: NASA’s Juno spacecraft arrives at Jupiter!

mkuu hapa hakuna Mafanikio yeyote kwa Dunia Bali ni Uharibifu kwa Dunia.

Hawa wana sayansi ndiyo chanzo cha uaribifu, kila kukicha wana Mchokonoa Mungu.

Wewe unajua ni Athari gani zinaweza kutokea pindi makosa yanapotokea kwa wao kurusha vyombo hivyo kwenye sayari?

Embu tujiulize mabadiliko ya tabia nchi na ali ya hewa yanatokana na nini?

Magonjwa mbali mbali kwa wanadam, ambayo haya kuwepo yanatokana na nini?

Wanadamu watajiangamiza wenyewe kwa kujifanya wanajua maarifa kuliko Mungu.

Asikiaye na Afahamu.
Mungu yumo moyoni mwako haishi Jupiter.
 
Utakuwa unamatatizo wewe,au baadhi ya imani zimekuathiri,hujui kila kinachokuzunguka kilitokana na mwanasayansi
 
Sio ndio nyie mlinyonga watu kisa wamesema dunia duara na nyie mkasema dunia iko kama meza,dini na sayansi vi vitu viwili tofauti
 
Mungu yumo moyoni mwako haishi Jupiter.
nani Amesema Mungu Anaishi Kwenye Jupiter?

Ni Sawa kabisa Mungu Anaishi Ndani ya Moyo wa Mwanadamu.

Ila yeye aliye zitengeneza sayari hizo ni Yeye na Yeye siyo mjinga.

Ila kazi ya Mwanadamu siku zote ni Uharibifu, na mchango wangu ni kwamba Je! Wanadamu wanaathirika kiasi Gani kwa kuaribifu utakaojitokeza kwa makosa ya wanasayansi hawa?
Siyo tunachekelea uangamivu bila kuangalia Athari zake.

Nimeshambuliwa kwa matusi ila kabla ya kutukana ni vyema kujikita kwenye Mada husika tusiwe wajinga wa kushangilia kila jambo bila kupima Athari zake.
 
Utakuwa unamatatizo wewe,au baadhi ya imani zimekuathiri,hujui kila kinachokuzunguka kilitokana na mwanasayansi
mimi niseme wazi kabisa kwamba Nina Elimu ya Mungu.

Na nilazima niisadiki kwa kuwa Mungu ni Ukweli na Mungu siyo Sayansi.

Maana hata wana Sayansi Hawaamini kuwa kuna Mungu, nikufahamishe hilo kama hulijui.

Ndiyo maana wanasayansi wanasema wa Africa wanatokana na Nyani na wewe unachekelea.

Jiulize kama wewe mtu mweusi unatokana na Nyani wao wanatokana na Nini?

Jitambue mkuu. Kuwa Mchunguzi wa Mambo kabla ya kushangilia jambo.
 
Kw dunia unamaanisha na Tanzania au kwa waoo!!??? We plan namna ya kutengeneza toothpick tu sio useme mafanikio ya dunia wkt nasa vichw vinawak moto

Kuna mafanikio gani wao kurusha hicho chombo kwenda huko Jupiter? Kwenda wakigundua kunafaa watu kuishi ndio wataenda huko?? Kama safari ya kwenda huko ni miaka mitano, it means ukitaka kuishi huko kwenda na kurudi duniani kuona ndugu zako itawachukua miaka 10 pekee kwaajili ya safari.. Hakuna chochote cha maana bora hizo sayansi zao wanazotudanganya nazo watengeneze dawa ya kutibu Ukimwi na Zika..

Wamarekani ni waongo sana.. Na si ajabu hata huko Jupiter hawajaenda ni kutafuta misifa tu..
 
Hii mada ungeiweka kwa kiswahili ingekuwa mzuka Sana
mimi niseme wazi kabisa kwamba Nina Elimu ya Mungu.

Na nilazima niisadiki kwa kuwa Mungu ni Ukweli na Mungu siyo Sayansi.

Maana hata wana Sayansi Hawaamini kuwa kuna Mungu, nikufahamishe hilo kama hulijui.

Ndiyo maana wanasayansi wanasema wa Africa wanatokana na Nyani na wewe unachekelea.

Jiulize kama wewe mtu mweusi unatokana na Nyani wao wanatokana na Nini?

Jitambue mkuu. Kuwa Mchunguzi wa Mambo kabla ya kushangilia jambo.
Acha ubishi na acha kuchanganya dini na sayansi, na nani amekuambia wanasayansi hawaamini mungu, wapo ambao wanaamini na wapo ambao hawaamini, swala si wanasayansi kuamini Bali sayansi yenyewe ndo inahitaji kitu kuwa proved na hiko kitu kiwe na uwezo wa Ku be disapproved na kutokana na observations na tafiti tofauti tofauti ndo maana unaona wenzako hawachoki kufanya tafiti. Kama watu wote wangekuwa na mawazo kama yako hata hii internet tusingetumia.
 
mkuu hapa hakuna Mafanikio yeyote kwa Dunia Bali ni Uharibifu kwa Dunia.

Hawa wana sayansi ndiyo chanzo cha uaribifu, kila kukicha wana Mchokonoa Mungu.

Wewe unajua ni Athari gani zinaweza kutokea pindi makosa yanapotokea kwa wao kurusha vyombo hivyo kwenye sayari?

Embu tujiulize mabadiliko ya tabia nchi na ali ya hewa yanatokana na nini?

Magonjwa mbali mbali kwa wanadam, ambayo haya kuwepo yanatokana na nini?

Wanadamu watajiangamiza wenyewe kwa kujifanya wanajua maarifa kuliko Mungu.

Asikiaye na Afahamu.
ivi watu wa sampuli hii bado wako bongo eeeeh dah i am embarrassed to be tanzanian
 
mimi niseme wazi kabisa kwamba Nina Elimu ya Mungu.

Na nilazima niisadiki kwa kuwa Mungu ni Ukweli na Mungu siyo Sayansi.

Maana hata wana Sayansi Hawaamini kuwa kuna Mungu, nikufahamishe hilo kama hulijui.

Ndiyo maana wanasayansi wanasema wa Africa wanatokana na Nyani na wewe unachekelea.

Jiulize kama wewe mtu mweusi unatokana na Nyani wao wanatokana na Nini?

Jitambue mkuu. Kuwa Mchunguzi wa Mambo kabla ya kushangilia jambo.
Acha mihemko ya dini wewe, Yesu mwenyewe huna uhakika kama kamuona mungu
 
Faida za Juno Mission ni pamoja na uchunguzi wa mfumo mzima wa jua (zikiwemo sayari) jinsi hapo awali zilivyoundwa na kupata taarifa kwa jinsi mfumo ulivyo sasa na utakapokua hapo baadae. Sababu ya kufanya uchunguzi kwa sayari ya Jupiter ni kwa kua ni sayari kubwa kuliko zote hvyo inaaminika itakua na taarifa nyingi za "Mfumo wa Jua" kuliko sayari nyingine.
 
hata Mijinga akitoa Maoni yake Basi yaheshimiwe Ndugu Zanguni.

Lakini mjue kwamba ikiwa mimi ni Mjinga Katika kusema ukweli basi Mimi ni mweruvu kuliko wote.

Maana uaribifu utukuzwa kuliko kuliko uerevu asomae na Afaham.

Kwahiyo ulitaka tusifanye tafiti za aina yeyote?
 
Back
Top Bottom