simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,764
- 9,680
Nalia na huzuni CCM is supreme.
Mkuu una nauli ya kwenda huko hata wakisema pana faa kuishi binadamu?Na watuambie tunaweza kwenda kuishi huko maana maisha ya tz kila kitu tabu tu
Hata satelite zinazowezesha wewe kuandika huu utumbo na kuutuma kupitia internet, ni hao hao unaowaponda ndio waliofanikisha hili. Hao wanasayansi walikuwa criticised na watu kama wewe miaka hiyo wakati wanajaribu kurusha rusha satelite angani lakini Mungu alikuwa upande wao na wakafanikiwa na leo hii unachekelea kutumia simu(iliyoundwa na wana sayansi) na internet. Badala ya kuwaombea kwa Mungu plan zao zifanikiwe ambapo itakuwa ni faida kwa vizazi vijavyo au hata sisi wee una bwatabwata hapa kukosoa. Wake up!nani Amesema Mungu Anaishi Kwenye Jupiter?
Ni Sawa kabisa Mungu Anaishi Ndani ya Moyo wa Mwanadamu.
Ila yeye aliye zitengeneza sayari hizo ni Yeye na Yeye siyo mjinga.
Ila kazi ya Mwanadamu siku zote ni Uharibifu, na mchango wangu ni kwamba Je! Wanadamu wanaathirika kiasi Gani kwa kuaribifu utakaojitokeza kwa makosa ya wanasayansi hawa?
Siyo tunachekelea uangamivu bila kuangalia Athari zake.
Nimeshambuliwa kwa matusi ila kabla ya kutukana ni vyema kujikita kwenye Mada husika tusiwe wajinga wa kushangilia kila jambo bila kupima Athari zake.
Na je hicho chombo kinaendeshwa na fuel ?..kama ndio ni ipi ?..mafuta au hewa ?,nmesoma hapo kina uzito wa tani 1.6 nimeshindwa kuelewa safari ya miaka 4,hakijazimika tu ? na mafut ahayajaisha tu ?
Watu wenye mawazo mgando kama yako walikuwepo hata wakati wanasayansi wanaanza majaribio ya kurusha satelites ambazo leo hii zinatuwezesha kuwasiliana.Kuna mafanikio gani wao kurusha hicho chombo kwenda huko Jupiter? Kwenda wakigundua kunafaa watu kuishi ndio wataenda huko?? Kama safari ya kwenda huko ni miaka mitano, it means ukitaka kuishi huko kwenda na kurudi duniani kuona ndugu zako itawachukua miaka 10 pekee kwaajili ya safari.. Hakuna chochote cha maana bora hizo sayansi zao wanazotudanganya nazo watengeneze dawa ya kutibu Ukimwi na Zika..
Wamarekani ni waongo sana.. Na si ajabu hata huko Jupiter hawajaenda ni kutafuta misifa tu..
Kwenye outer space hakuna oxygen mkuu. Oxygen ni gas mojawapo inayowezesha moto kuwaka. Ndiyomaana hata wakienda kwenye mwezi wanabeba oxygenKitu kinakimbia speed ya 165,000 Mph inakuwaje hakiwaki moto???? Naomba mtaalam wa physics anielimishe please!
Juno inatafuta kila kitu kilichopo hai au kisicho na uhaiKwani JUNO imeenda kumtafuta Mungu
Hiki chombo kimepoteza mawasiliano nini maana sioni kikirusha data yoyote mpaka sasa tofauti na #NewHorizon, ambacho kilienda mbali zaidi kwenye #Pluto.
Jupiter ni jirani na dunia lakini sijaona data yoyote na Leo ni siku ya tatu kulikoni ?
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
😛😛😛😛 cc twategemea wataalam toka rwandaSema kwa Marekani na Mabepari wake na siyo dunia. Sisi huku kwetu bado tunahangaishwa na sukari sasa hiyo JUNO itatupatia sukari ya bei nafuu tunayoimudu?
SIE MAPENZI MAPENZI TU...Setelite iitwayo Juno imefika salama salimin katika sayari ya Jupiter. Setelie hii imefika saa 06:15 a.m. Setelite hii ilitumwa na jopo la wana sayansi wa marekani mwaka 2012. huu ndo mwaka wa tano ikiwa inasafiri tu.
Setelite hii itakaa huko kwa kiasi cha takriban mwaka mmoja na nusu, harafu itarudi dunian. itakuwa imechukua information mhimu kuhusu sayar ya jupiter.
Kumbuka kuwa sayar ya jupiter ni kubwa mno kiasa cha dunia kuingia mara 1000.
Funzo. waafrika tuache kulogana, fitina roho mbaya zisizo na misingi. wakat sisi tumeendekeza uchawi, fitina, umaskin, umbea, elimu za kuunga unga wenzetu wanarusha setelite kwa miaka mitano mpaka jupter. Kesho na kesho kutwa utasikia wameenda kuishi huko.
Hapa nadhani credits ziende kwa father of modern physics Albeit EinsteinAlways i salut the father of technology.sir isaac newton.R.I.P.
Helium hii ya Bongo?Kwenye thrusting kinatumia helium gas na oxygen. Otherwise muda mwingi kinatumia solar cells
Baba horizon ilishaanza safari ya kurudi duniani itafika baafa ya miaka 9na ile new horizon iliyokua inaenda pluto iliishia wapi, mwenye taarifa atueleze kama ilifika huko ilikuta kuna kitu gani?
mkuu kule baridi sana....[emoji23] Ebu tudokeze ulichokiona huko mkuu