Kuziwa
JF-Expert Member
- May 23, 2011
- 248
- 214
du
du hawa jamaa wametupiga gap la technology mbali kabisa, kuna watu wamededicate elimu yao kwenye kitu kimoja tu, mfano new horizon au juno, hakuna kujaribu jaribu maisha.Baba horizon ilishaanza safari ya kurudi duniani itafika baafa ya miaka 9