Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 8,192
- 10,491
Flash back style, inaruhusiwaUandishi mbovu sana, nyuma mbele mbele nyuma!
Flash back style, inaruhusiwaUandishi mbovu sana, nyuma mbele mbele nyuma!
Hesebu vzr.Nimepiga kambi apa nasubili sehemu inayofata kwa hamu.
Japo kufikia apa nmegundua askari wa JWTZ walokufa vitani ni wachache saaana , lakini mboona kambi ya KABOYA wilaya ya MULEEBA ambapo kumbukumbu ya mashujaa imeifadhiwa kuna makaburi ya askari weeeengi saaaana takrbani mia 4.
Nakufikia apa inaonekana walokufa hawafiki ata 50.
shukran saaana bwaaana NDIKUMANGENGE.Askari wrote waliokufa vitani ni 614 ikiwa nipamoja na askari wa kigeni waliokuka kutupa msaada angalalia vizuri mnara wa mashujaa wa vita ya Uganda kaboya uliopo mkoani kagera
Tupe muendelezoKesho naendelea na sehemu inayofuata
huo mnara uko sehemu gani? Nilifika mpaka Mutukula sijaona mnarashukran saaana bwaaana NDIKUMANGENGE.
Ulifika pia kambi ya Kaboya-Muleba?Uhuo mnara uko sehemu gani? Nilifika mpaka Mutukula sijaona mnara
Cheki ulivo liongo!Kesho naendelea na sehemu inayofuata
Masahihisho Mkuu wa Jeshi la anga alikuwa Major Robert Mboma..tulikuwa na wanamaji na wanaanga.
..kama kumbukumbu zangu ziko vizuri, mkuu wa wanamaji alikuwa Brig.Rowland Makunda, na mkuu wa vikosi vya anga alikuwa Brig.James Luhanga.
Matanga ahsante kwa historia hii nzuri
Duniani ukifanya kitu huwezi kosa wa kukupinga we endelea mbele tu mbona sijaona toleo la 26 na kuendelea au jamaa wameshakukatisha tamaa sasa sikiliza ni waeleze wasilojua.
Kitu kikiandikwa ili kisikopiwe mwandishi lazima kwanza andishi lake aliwekee zuiyo kuwa haliruhusiwi kuwa copied electronically au kwa njia yeyote bila idhini yeyote.Pia lazima andiko liwe na hati miliki
Sharti la pili kama ni kitabu kiwe na idhibati inaitwa ISBN Internationa System of Book Number.
Bila mashariti haya mtu hata aki copy na kupaste pengine hafanyi kosa la jinai na huwezi kumshitaki.
Wanaokupinga uwaulize kwanini wakati wanasoma vile vitabu vya kiada walikuwa wana copy? JIbu ni kwamba muandishi tayari anakuwa ameshatoa ruhusa kwa ajili ya watu kujifunza.
Nashangaa watu wanajifanya wajuvi wa mambo wivu umewaajaa hawajui waandikalo kiujumla huwezi elimika bila ku copy kazi aliyofanya mwingine.
Wengine walikuwa hata hawajazaliwa haya matukio ya vita yakitokea