Historia ya neno Msela na Baharia

Historia ya neno Msela na Baharia

Wakuu humu Jf kuna Mabaharia makini, Hawa ni baadhi ya Mabaharia wanaostahili kupewa vyeo kama katiba yetu inavosema

1. Bwana @MAGALLAL R, Huyu tunampa uwenyekiti wa Mabaharia wa Jf, kumtoa demu mwanza-Dar na kumpa 7800 huyu kaiva

2. Inaenda kwa Zero IQ huyu ni Baharia aliyechakacha papuchi za aina zote inshort hachagui papuchi na bado anaendelea na kazi yake, anastahili ukatibu wa mabaharia wa Jf, na anaendana na katiba yetu

Kama kuna wengine wataje..............
Aiseeeeeee
 
Teh Oni Sigala kasema baharia kwa tafsiri isiyo rasmi ni mtoto wa watu (kwenye meli zamani ukiomba kazi wanasema ilikuwa ni lazima Captain atafune haramu ndio upewe kazi )

Kazi kwenu mnaojiita mabaharia.
Kweli kipindi cha nyuma wazamiaji walifanyiwa vitu vibaya sana.
 
Neno baharia limetafsiriwa kutoka kwenye neno Seaman.

Hizo tafsiri nyingine ni zetu, na hakuna meli inayokubali au kuruhusu vitendo vya ushoga.

Baada ya wazamiaji kufanyiwa vitendo viovu na wimbi la kuzamia kuongezeka. Ikaletwa code inaitwa International Ship and Port facility Security Code ambayo imeweka sheria za kuzuia wazamiaji na hatua za kuchukua kukabiliana nao ambao zinafuata haki za binadamu.
 
Mimi ni baharia
Hii tafsiri nayo umeizingatia?
tapatalk_1568201294870.jpeg
 
Baharia wa kweli ni mtafutaji,baharia anaoa akiwa ana miaka 45 kwenda juu, baharia lazima awe ana wanawake wengi kama manabii na mitume wa zamani, baharia haoi single mother, baharia anapiga bao nne kwenda juu, baharia ni mwanaume aliyekamilika hapaki make up wala havai nguo za kubana kama wanawake, baharia hasikilizi nyimbo za mapenzi bongo flava au taarabu, baharia sio ben ten, baharia hamtegemei mwana mke amhudumie,baharia hali chips mayai

watu wamekuwa wakipotosha tafsiri sahihi ya baharia, mabaharia wote tuungane kupinga upotoshwaji huu
Screenshot_20190911-204404~2.jpeg
 
baharia haoi single mother

Once a baharia always a baharia
 

Attachments

  • IMG_20190911_204110.jpeg
    IMG_20190911_204110.jpeg
    34.4 KB · Views: 52
Back
Top Bottom