mtzedi
JF-Expert Member
- Dec 13, 2011
- 6,202
- 6,466
Viwanda hivyoHii nchi sijui lini ujinga utaisha,mambo ya kipuuzi ndio yanapendwa na wananchi
Viwanda hivyoHii nchi sijui lini ujinga utaisha,mambo ya kipuuzi ndio yanapendwa na wananchi
Kuna wazir siku moja alimwambia mbunge wa jimbo fulani et nikupe kiwanda af anaingiza mkono mfukuniViwanda hivyo
sasa na wewe mbona unacomment kwenye post za kijinga?Hii nchi sijui lini ujinga utaisha,mambo ya kipuuzi ndio yanapendwa na wananchi
Huyu baharia inavyoonekana pia hafi.baharia hazeeki
Naunga mkono hoja [emoji122][emoji122][emoji122]Baharia wa kweli ni mtafutaji,baharia anaoa akiwa ana miaka 45 kwenda juu, baharia lazima awe ana wanawake wengi kama manabii na mitume wa zamani, baharia anapiga bao nne kwenda juu, baharia ni mwanaume aliyekamilika hapaki make up wala havai nguo za kubana kama wanawake, baharia hasikilizi nyimbo za mapenzi bongo flava au taarabu, baharia sio ben ten, baharia hamtegemei mwana mke amhudumie,baharia hali chips mayai
watu wamekuwa wakipotosha tafsiri sahihi ya baharia, mabaharia wote tuungane kupinga upotoshwaji huuView attachment 1204797
Relax tangu uwe serious umefikia wapi?Hii nchi sijui lini ujinga utaisha,mambo ya kipuuzi ndio yanapendwa na wananchi
mkitoka ubaharia mtashuka kwenye ushogaBaharia wa kweli ni mtafutaji,baharia anaoa akiwa ana miaka 45 kwenda juu, baharia lazima awe ana wanawake wengi kama manabii na mitume wa zamani, baharia anapiga bao nne kwenda juu, baharia ni mwanaume aliyekamilika hapaki make up wala havai nguo za kubana kama wanawake, baharia hasikilizi nyimbo za mapenzi bongo flava au taarabu, baharia sio ben ten, baharia hamtegemei mwana mke amhudumie,baharia hali chips mayai
watu wamekuwa wakipotosha tafsiri sahihi ya baharia, mabaharia wote tuungane kupinga upotoshwaji huuView attachment 1204797
Kweli kabisaBaharia ni mapunga
inakuaje tajiri Pablo
once a baharia always a baharia[emoji1478] Baharia
ubaharia ni upuuzi??? baharia ni mwanaume kamili mwenye sifa tajwa hapo juuHii nchi sijui lini ujinga utaisha,mambo ya kipuuzi ndio yanapendwa na wananchi
baharia hazeeki, baharia anafanya sana mazoezi gym ili hata akifika miaka 70 anaonekana ana miaka 40Huyu baharia inavyoonekana pia hafi.
pamoja bahariaNaunga mkono hoja [emoji122][emoji122][emoji122]
baharia ni mwanaume rijali anapiga bao zaidi ya nneBaharia ni mapunga