Historia ya neno Msela na Baharia

Historia ya neno Msela na Baharia

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Marufuku Baharia kupika chapati za kumimina
Marufuku Baharia kupika Chapati za Kusukuma
Marufuku Baharia kupika wali nazi
Marufuku Baharia kukuna nazi

Ongeza marufuku nyingine kwa mabaharia

Cc
Beira Boy
General Mangi
Cardiovascular
@Deepond
Megapixel
Mkuu kama ubaharia wenyewe ndo huo bora nijitoe tuu. Angalau nijiite (baharia gang) kama konde boy alivyojitoa wcb. Chapati za kumimina siwezi acha wewe!!!
 
Marufuku baharia kusugua gaga
Marufuku baharia kusugua sufuria na stili waya
Ni marufuku baharia kupiga mswaki kama hana uhakika wakula kinywa
Kupiga swaki!!! [emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu kama ubaharia wenyewe ndo huo bora nijitoe tuu. Angalau nijiite (baharia gang) kama konde boy alivyojitoa wcb. Chapati za kumimina siwezi acha wewe!!!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom