Historia ya neno Msela na Baharia

Historia ya neno Msela na Baharia

huyu oni sigala yeye ni nani,awe makini asijaribu kupotosha maana sahihi ya ubaharia,taasisi yetu ya ubaharia ni taasisi kubwa yenye watu wenye nguvu na influence kubwa,awe makini tusije tukamgeuza na yeye kuwa baharia kama tafsiri yake inavyoeleza


Once a baharia always a baharia
 
Baharia hatumi ya kutolea
1568235927928.jpeg
 
Tz ina watu wa ajabu sana. Kwa hiyo sasa hivi 'baharia' ndio gumzo la mjini. Wasomi, makanjanja wote wamo. Kana kwamba kuna jambo la muhimu sana linaloongelewa. Hii jamii yetu, kilichopo kichwani hakieleweki.
 
Tz ina watu wa ajabu sana. Kwa hiyo sasa hivi 'baharia' ndio gumzo la mjini. Wasomi, makanjanja wote wamo. Kana kwamba kuna jambo la muhimu sana linaloongelewa. Hii jamii yetu, kilichopo kichwani hakieleweki.
hata na wewe unayecomment hapa ni wa ajabu pia


Once a baharia always a baharia
 
Baharia wa kweli ni mtafutaji,baharia anaoa akiwa ana miaka 45 kwenda juu, baharia lazima awe ana wanawake wengi kama manabii na mitume wa zamani, baharia haoi single mother, baharia anapiga bao nne kwenda juu, baharia ni mwanaume aliyekamilika hapaki make up wala havai nguo za kubana kama wanawake, baharia hasikilizi nyimbo za mapenzi bongo flava au taarabu, baharia sio ben ten, baharia hamtegemei mwana mke amhudumie,baharia hali chips mayai

watu wamekuwa wakipotosha tafsiri sahihi ya baharia, mabaharia wote tuungane kupinga upotoshwaji huuView attachment 1204797
Pablo Blanco nipe mchongo wa meli Ulaya.
 
Marufuku baharia kudeki chumba
Marufuku baharia kuvaa boksa moja mara moja baharia unatakiwa boksa moja uvae wiki 1 hadi 2
Marufuku baharia kujipaka mafuta,kujipuliza spray/perfume
Marufuku baharia kudeti na demu bila kumnyonya kwenye KINYEO
Kumbee ubaharia uchafu mtupu
 
kAMA UBAHARIA NDIO UKO HIVYO BASI MIMI NAJITOA AISEEE

Hivi kama uko hivyo baharia siku umeoa mkeo anaumwa ama ni mjamzito mtaishi kweli?

ubaharia huu wakingese kinoma
Umeona mkuu hauna positive yoyote usenge tu huo ubaharia
 
Back
Top Bottom