Historia ya neno Msela na Baharia

Historia ya neno Msela na Baharia

MABAHARIA TUKO PAMOJA
IMG-20190909-WA0009.jpeg
 
Kabisa baba wanaume wengi wanaojiita mabaharia ni vijana wa mtaani tu wahuni walioshindikana wanaume wanaojiheshimu na wanaojielewa hawawezi kukubali japo kuitwa tu mabaharia achilia mbali kujiita wenyewe
Limekaa kihuni huni tu.


Ila wengi wako kimasihara zaidi.
 
Mbona hata wanaume wa siku hizi mkikubaliwa tu mnawafanya watoto wa watu housegirls??
Ah sasa si nyie wenyew ndio mnajilengesha kuja

Tena mnalazimisha kuja gheto!
Tena ukikuta jamaa yupo mambo safi ndio unahamia kabisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakumbuka kademu kamoja nimepiga tu mara moja siku inayofata nikaombwa laki , duuuh nilitoa tu ahadi nikapewa tena second round nikapiga. Jaman wadada kuweni na aibu jaman
Mademu wa saivi ukiwatongoza tayari ushakuwa mume ghafla! Wanakela

Mabahalia zetu kupiga na kusepa
 
Watu wanafanya kila juu chini kuuchafua ubaharia,mara hawana fedha,mara wahuni,mara hawana akili[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Waacheni mabaharia bhana ndo wakati waooo huuuuu wa kudunda "mixer" kitenesi[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakumbuka kademu kamoja nimepiga tu mara moja siku inayofata nikaombwa laki , duuuh nilitoa tu ahadi nikapewa tena second round nikapiga. Jaman wadada kuweni na aibu jaman
Na ukijifanya "mapenzi niue"
Utabeba gharama zote kwake na mwisho atakuona boya na kukuacha

Bahalia mwenzangu shituka!
 
Ndugu mwenyekiti,mabaharia tunaruhusiwa kuoa? na umri wa kuoa kwa baharia mzoefu ni miaka mingapi?
 
Ok, bora maana hapo juu nimeona mbaharia hawaogi wiki mbili sasa i was trying to think

Mimi sibadiliki nini tena umeniacha njia panda
hubadiliki unajua?uko vile vile...ubaharia na mimi vitu viwili tofauti
 
Back
Top Bottom