Historia ya neno Msela na Baharia

Historia ya neno Msela na Baharia

Kazi iliyokuja kuheshimika sana Tanzania na Zanzibar katika miaka ya 60 mwishoni na mwanzoni mwa miaka ya 70 ilikuwa Ubaharia. Baharia enzi hizo alikuwa mtu mwenye pesa za kigeni za kutosha, alivaa mavazi ya bei ghali na mavazi adimu yaliyokuwa yanalingana na wakati kwa kujilinganisha na Uingereza. Vijana wengi walitamani sana kuipata nafasi ya kuajiriwa kwenye meli yoyote inayotia nanga Dar es salaam na wakati mwingine pale Ferry-Posta ya zamani ilikuwa mahali maarumu ambapo vijana walikuwa wanavizia meli za kuzamia. Kila aliyekataa kwenda shule.... alijiita Baharia bwana!.
Lakini nadhani kwa sasa kuna kitu wanakilenga si bure vijana wengi hivi sasa wanajiita mabaharia na kuitana hivo
 
Baharia ni mwanaume mjanja, makini mwenye uwezo wa hali ya juu kihudumia familia yake na kila kitu anachohitaji mwanamke kama kihondomola nk.
Mmmmm hapa naona kama haupo sawa maana vijana wengi tena vijiweni ndio hujiita mabaharia hawana hata familia
 
Ok, bora maana hapo juu nimeona mbaharia hawaogi wiki mbili sasa i was trying to think

Mimi sibadiliki nini tena umeniacha njia panda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee mama ..miss HR, mabaharia tunaeza kata ata mwezi tukaoga Mara moja tu au mbili hivi..mumeo sio baharia???
 
1568068280691.png
 
Tatizo lako Mamalai unakuwaga serious sana na maisha. Hivyo tu yaan.
Kabisa baba wanaume wengi wanaojiita mabaharia ni vijana wa mtaani tu wahuni walioshindikana wanaume wanaojiheshimu na wanaojielewa hawawezi kukubali japo kuitwa tu mabaharia achilia mbali kujiita wenyewe
 
Back
Top Bottom