Historia ya neno Msela na Baharia

Historia ya neno Msela na Baharia

Hahaha acha kunichekesha, mabaharia si ndo mmesema hamuoi, sasa mume wangu huko kwenye hiyo category hayupo kabisaa

Ila mabaharia mnawadhalilisha wanaume wenzuenu mjue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee mama ..miss HR, mabaharia tunaeza kata ata mwezi tukaoga Mara moja tu au mbili hivi..mumeo sio baharia???
 
1) Bahari marufuku kunyoa kiduku
2) baharia marufuku kunyoa mavuzi wala nywele za kwapani wala za mstari wa ikweta
3) bahari marufuku kunywa uji
4) Baharia marufuku kula chips na mayai yake
5) Baharia marufuku kunywa savanna
6) baharia marufuku kupiga show geto kwa demu
7) Baharia marufuku kuvaa suruali za vitambaa zenye marinda
 
ni marufuku baharia kuogopa nyoka.baharia unamkamata nyoka,kisha unamuingiza ndani ya boxer ili apambane na nyoka mwenzie.
 
.
IMG_20190910_143107.jpeg
 
Wakuu humu Jf kuna Mabaharia makini, Hawa ni baadhi ya Mabaharia wanaostahili kupewa vyeo kama katiba yetu inavosema

1. Bwana @MAGALLAL R, Huyu tunampa uwenyekiti wa Mabaharia wa Jf, kumtoa demu mwanza-Dar na kumpa 7800 huyu kaiva

2. Inaenda kwa Zero IQ huyu ni Baharia aliyechakacha papuchi za aina zote inshort hachagui papuchi na bado anaendelea na kazi yake, anastahili ukatibu wa mabaharia wa Jf, na anaendana na katiba yetu

Kama kuna wengine wataje..............
 
Teh Oni Sigala kasema baharia kwa tafsiri isiyo rasmi ni mtoto wa watu (kwenye meli zamani ukiomba kazi wanasema ilikuwa ni lazima Captain atafune haramu ndio upewe kazi )

Kazi kwenu mnaojiita mabaharia.
 
Back
Top Bottom