Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,996
- 189,582
Ya Baharia Muachie Baharia
Le mubebezKila kona, status, social media zote watu wanaandika sifa za hao mabahari,
Watanzania tuna nini
ha ha ha hapo hapo ulipoSisi ambao sio mabaharia tunakoment wapi
wewe siyo baharia, mabaharia sisi wenyewe tunajuana.*SIFA 20 ZA MABAHARIA DUNIANI KOTE*
1.Hana URAFIKI NA WANAWAKE
2.HAENDI LOCATION
3.HANYOI VIDUKU
4.MUAMINIFU & MKWELI
5.HANYWI POMBE
6.HAVAI MLEGEZO
7.MUAMINIFU KWENYE MAPENZI
8.SIO MUONGEAJI
9.HAANGALII XXX
10.KU-BET ni jambo la kawaida kwake.
11.LAZIMA AWE NA TIMU EPL anayo shabikia
12.HAKUVUTI SIGARA HANYWI POMBE
13.ANAPENDA HIP HOP
14.ANAJUA KUISHI MAISHA YA SHIDA NA RAHA
15.SIO MCHAFU NA SIO BISHOO
16.HANA UBINAFSI
17.MCHAPA KAZI HODARI
18.HAONGI MADEMU NA HAPENDI MICHARUKO
19.ANAPENDA WANAWAKE WEUPE KAMA SIO BASI DEMU AWE NA KISHEPU.
20.HAPIGI MWANAMKE .
21.SHABIKI WA SIMBA
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji117][emoji409][emoji117][emoji196]
Sisi ambao sio mabaharia tunakoment wapi
Usiwe na shaka kwa hilo my lady, mi mzima kabisa, ila nashukuru Mungu anaendelea kupigania afya zetu.Vipi wewe eti my dear
ha ha ha wakija kwako,waambie wapige mashine vizuriKwenye ile elfu saba mia nane
hakikisha kufuli analisahauHuwezi shindana na shimo ulilotokea
Sisi ambao sio mabaharia tunakoment wapi
ha ha ha piga kitu mpaka akikuona anakuwa anakuogopaWengine Wanaacha Makusudi Ili Warudi.
ha ha ha haWewe kwenye kikao si ndio ulitangaza bei ya nauli ya Dar - Mwanza kuwa ni 7800
Aise baharia nipo apa njo nibake[emoji41]
Misemo hii inaitwa misimu. Ni jambo la kawaida katika lugha iliyo hai na huzaliwa na kufa kulingana na mwelekeo wa jamii husika. Ni jambo la kawaida karibu katika lugha zote kamanda. Usighafilike !Najiuliza tu hawa waanzisha misemo ya dizaini hizi huwa wanafamilia kweli!!!!...mtu mwenye akili timamu hawezi kuongea kipuuzi puuzi kama hivi
Muhimu ni utekelezaji tuUzi kama huu huwa sikomenti
POVU RUKSA
🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️