Historia ya neno Msela na Baharia

Historia ya neno Msela na Baharia

Hii ni nje ya sheria za mabaharia bhana
Baharia ni bingwa wa kukwepa virungu yaani hatuhongi ng'oo sio kuiba tena
Huo ni uharamia pumbavu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kikawaida mimi huwa sibebwi na mawimbi ya vimisemo vya ajabu ajabu vya msimu...huwezi nikuta natumia hii misemo kwenye mdomo wangu..
Sijui....KAMA LOTE....WATAPATA TABU SANA...etc
Na sasa naona kila mahalî BAHARIA...
Mbona umetumia hiyo misemo tajwa hapa?
 
MOJA YA KANUNI ZA BAHARIA NI LAZIMA KWA KILA MJUMBE AWE NA BOXER 2 TU, MOJA YAKUSHINDIA MOJA YAKUPIGIA SHOW.
 
Baharia jamaa yeyote ambae yawezekana akawa hana pesa au anazo ila akaacha kuzitumia pindi anapokua na demu mzuri awe demu wake au awe anamsotea
Basi atatumia trick kumla huyo demu bureee, na guest halipiii atalipia demu na nauli halipiii atalipa demu pia na bado kwa show aliyopigwa huyo demu hawezi kumwacha wala kujua kwamba jamaa hana hela

Kifupi ...BAHARIA HACHUNWI

Kama unazo sifa hizo yafaa uitwe baharia japo vigezo bado vipo vingiii kushinda hata vya kugombea uraisi
 
Kweli ulipitwa na
1. "Mzee Baba"?
2. "Wanaume wa Dar"?
Kikawaida mimi huwa sibebwi na mawimbi ya vimisemo vya ajabu ajabu vya msimu...huwezi nikuta natumia hii misemo kwenye mdomo wangu..
Sijui....KAMA LOTE....WATAPATA TABU SANA...etc
Na sasa naona kila mahalî BAHARIA...
 
Baharia ni anaweza kukopa mara mbili kwa mtu mmoja tena kabla hajalipa deni la kwanza.

Baharia ni anaweza kwenda kutoa mahali ukweni na wakati wa kuondoka akaomba hela ya nauli kwa baba mkwe.
 
.....Sifa kuu ya MTU baharia ni kujihusisha na michongo yake bila kuwabughuzi wengine. Hii ya kwanza nyenye busara

Pili mabaharia mwiko kula mke wa MTU zaidi ya Malaya tena na kilainishi.

Tatu ,baharia wengi mabachela kwao hata mlo mmoja safi.

NNE, mabaharia wengi club za starehe wanaenda na buku 3 , wanarudi wamelewa chakari.

Tano, mabaharia ndo wale waliochomoa betri morogoro.
Ohoooo kumbe
 
Bongo Kuna vimaneno huwa vinatokeaga na vina trend kiajabuajabu eti"baharia""baharia"

Ova
 
dah... 30,000/=!!??

We ni Haramia aisee...
 
Hili la kujiita Mabaharia limetoka wapi ? Naona hata kule Twitter Kigwangala hataki kuondolewa uanachama sijui wa mabaharia.

Mara Boniface Jacob naye kasema leo Mchungaji kataka apewe makabrasha ya mabaharia .

Kulikoni ?
Mi nataka tu kufahamu lilipoanzia...
 
.....Sifa kuu ya MTU baharia ni kujihusisha na michongo yake bila kuwabughuzi wengine. Hii ya kwanza nyenye busara
Pili mabaharia mwiko kula mke wa MTU zaidi ya Malaya tena na kilainishi.
Tatu ,baharia wengi mabachela kwao hata mlo mmoja safi.
NNE, mabaharia wengi club za starehe wanaenda na buku 3 , wanarudi wamelewa chakari.
Tano, mabaharia ndo wale waliochomoa betri morogoro.
Anhaa... Kama hivyo ndivyo basi naanza kuelewa.
So twaweza sema BAHARIA limekuja replace neno MSELA.

OK! Lilitokeajetokeaje..!?
 
Back
Top Bottom