Historia ya neno Msela na Baharia

Historia ya neno Msela na Baharia

.....Sifa kuu ya MTU baharia ni kujihusisha na michongo yake bila kuwabughuzi wengine. Hii ya kwanza nyenye busara

Pili mabaharia mwiko kula mke wa MTU zaidi ya Malaya tena na kilainishi.

Tatu ,baharia wengi mabachela kwao hata mlo mmoja safi.

NNE, mabaharia wengi club za starehe wanaenda na buku 3 , wanarudi wamelewa chakari.

Tano, mabaharia ndo wale waliochomoa betri morogoro.
NNE

Hakuna baharia shoga au mwanamke?
 
Eti anaenda na buku 3 anarudi kalewa chakali
 
Kweli Baharia Hazeeki.

Jamaa Alikuwa Kama Shuka Jeusi Golini Warundi Wakashindwa Kuona Goli
 
Back
Top Bottom