Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,367
- 161,494
We unaonaje hiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We unaonaje hiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni umri wao wa kulia lia my King....tuwavumilie tuuunawaelewa sana hawa vijana, tuwasaidie tu hakuna namna mana daah. wanalia lia sana na hizo mambo,
Utanisamehe mpendwa wangu, hii sijaipenda hata kidogo, iweje MTU umtumie afu umuone kama takataka afu uje jf. umtangaze uone kama ulichofanya ni sahihi. NO.Ni umri wao wa kulia lia my King....tuwavumilie tuu
Lakini tunapaswa kusamehe dear!Utanisamehe mpendwa wangu, hii sijaipenda hata kidogo, iweje MTU umtumie afu umuone kama takataka afu uje jf. umtangaze uone kama ulichofanya ni sahihi. NO.
Dah huyo mchizi kakariri kitabu kabisaMabaharia nadhani tumeshaelewa View attachment 1201787
I preaciate thus why I love you, you know the meaning of forgiving.Lakini tunapaswa kusamehe dear!
Ndo umeachiliwa sasaWow hongereni sana jamani!!
Yo welcome my King!I preaciate thus why I love you, you know the meaning of forgiving.
Thanks my princesss, I pride to be with you my darling.
Mkuu card za hicho chama tunapata wapi?Mimi Ni mnadhimu wa kambi kongwe ya antisocial iliyoasisiwa kabla ya hii kambi pepo ya mabaharia
Inaonekana mahudhurio yako kwenye vikao Ni ya kusua sua..kikao Cha mwisho ilipitishwa 7,800 wewe unaleta Mambo ya 30,000 Tena. Hiyo 30 tulikubaliana iende moja kwa moja kwa mke sio sehemu za kutia nanga kwa muda.Nyongeza
Kutotuma hela ya kutolea.
Kuzingatia kiwango cha kuhonga kisichozidi 30,000/=
dah [emoji23][emoji23][emoji23]Nafikiri kume kuwa na harakati nyingi sana za pimbi ila hawa ndio mabaharia wa ukwel kuokoana Ndio huku. [emoji1] [emoji116]View attachment 1201560
Thanks my queen to love, what i love and i promise, we will be forever...I try harder to love what you love in order to persist our loveness. Have a nice night my lady? The lady of my heart...Your welcome my King!