Historia ya neno Msela na Baharia

Historia ya neno Msela na Baharia

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukichagua jua wewe sio baharia, sauti inatoshaa?!!

Baharia haweki haweki ovyo selection muhimu kwa baharia
 
Hili la kujiita Mabaharia limetoka wapi ? Naona hata kule Twitter Kigwangala hataki kuondolewa uanachama sijui wa mabaharia.

Mara Boniface Jacob naye kasema leo Mchungaji kataka apewe makabrasha ya mabaharia .

Kulikoni ?
 
Huyu jamaa kafuzu kweli 😂
Screenshot_20190908-155447.png
 
Mhenga wangu mimi
Wewe umeelewa eeeh
Kabisa kabisa, ingawa naona kuna harakati unaziendeleza za chini chini japo hawakuelewi ila usichoke my queen mana kuna watu wanateseka sana na hilo hadi ku publish tena kwa msisitizo uone ukubwa wa tatizo.
 
Kabisa kabisa, ingawa naona kuna harakati unaziendeleza za chini chini japo hawakuelewi ila usichoke my queen mana kuna watu wanateseka sana na hilo hadi ku publish tena kwa msisitizo uone ukubwa wa tatizo.
Usijali kabisaa my King
Mimi nawaelewaa
 
Mimi Ni mnadhimu wa kambi kongwe ya antisocial iliyoasisiwa kabla ya hii kambi pepo ya mabaharia

Jibu lako linanikumbusha zile story tulizokua tunapigiwa kuhusu vituko vya wagonjwa wenye matatizo ya akili katika hospitali ya Mirembe.

Daktari akata kuwapima wagonjwa wake akachora mlango ukutani akawaambia wapite, wote wakakimbilia ule mchoro kasoro mmoja, daktari akahisi labda huyu akili zimekaa sawa, alipomuuliza kwanini hajakimbilia mlangoni akamjibu kuwa anawachora kwanza hao wenzake maana yeye ndie ana funguo ya mlango hu.
 
Back
Top Bottom