Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,441
- 38,417
Sahihi kabisa! Na hii 7800 awe ametoka MKOANI... just like perdiem yake!
Tunashkuru Kwa taarifa ila kumbuka tunatakiwa tuwape 7800 kama tulivyoidhinisha kweny kikao
Na cha msingi ni muhimu tuwe na masweta yalioshonewa Neno Tanzania kweny kifua geto ya kuwapa Kama zawadi hio ni ishara ya uzalendo