Historia ya neno Msela na Baharia

Historia ya neno Msela na Baharia

Kaseja kacheza penalt ya kwanza, warundi wakapatwa na mawenge wakaanza kupiga nje [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Hahaha...
Kwa hiyo ndiyo maana mabaharia wanasema baharia hazeeki.


Hahaha ila wabongo wanachekesha saana...Kaseja kala age saana toka 2000 yupo
 
Gael Bigirimana huyu mtu ni mtu kwelikweli! Hii ni kwa watu wa mpira tu, sipati picha angekuwepo na yule Jamaa "Pierre Kwizera" sijui ingekuwaje

All in all stars ya sasa ina cheza mpira mzuri sana
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
baharia huyu ni under 17 kabisa,hii nafasi walitakiwa waipate wakina manyika jr dah noma sana
 
Baharia hatumi na ya kutolea,,
Baharia hali kwanza mpaka ahakikishe wanamtegemea wamekula kwanza,,
Baharia lazima awe na kilevi chake pendwa,, aidha gambe,, au fegi,, au kubet,, au sex,, au driving,, au shisha,, au ganja,, au kusali sana,, au muziki,,
Baharia kuoga mwisho mara mbili kwa siku,,
Baharia hanunui spray ya zaidi ya buku tano,,
Baharia habadili simu kama haijamaliza mwaka mkononi mwake,,
Baharia haweki mafuta full tank mwisho ya elfu kumi tu,,
Baharia harogi,,
 
Back
Top Bottom