Historia ya neno Msela na Baharia

Historia ya neno Msela na Baharia

Nilidhani sifa za mabaharia wa humu ni kuzama chumvini na kusafisha mitaro
 
Uwe na uwezo wa kutatua shida mbali mbali zinazokukabili hasa,
1.mapenzi
2.wizi/utapeli

hutumi pesa kwa demu wako

kila sehemu upo
 
Wakubwa naona kuna kundi la watu wengi wanajiita mabaharia hasa wa kiumeni. Sasa naomba kujuzwa ili uwe baharia unatakiwa uweje?

Na je mabinti pia wanaweza kuwa mabaharia?
Jobless
Bahili
Mpagazi
Uishi geto
Unywe ngumu halafu za bei poa...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji13][emoji12]
 
-baharia lazima awe mpiga dili
-lazima ajipachike jina "mtoto wamjini"
-awe na kitambi flani cha supu za buku jero
-baharia anaongea kama chiriku au dalali
-baharia anavaa kapelo flani hiv kama yupo mbugani na swala
-baharia hana demu, mchumba wala mke. YEYE NI BAHARIA
-lastly, baharia anatembea na katiba ya kibahari, kila siku anai review haikai kichwani
 
Hicho Chombo Sidhani Kama Kitafika Salama.
255759714105_status_33f2aa3890e449cdb53395a4e9202838.jpeg
 
[emoji23][emoji23] huyu baharia katumia kifungu namba ngapi hapo?
 
Back
Top Bottom