Historia ya neno Msela na Baharia

Historia ya neno Msela na Baharia

Hawa jamaa wanaojiita mabaharia wamekuwa na Mbinu nyingi sana kufanikisha mambo yao kwa namna rahisi. Hii nimeikuta sehemu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
IMG-20190908-WA0004.jpeg
 
Single maza wengi huwa ukimpenda mtoto wake na uncle nae ukifanikiwa kumteka akiwa anakuulizia kwa mama jua japo umebaki wewe kuchomoa betri tu Lori limeshadondoka ....kitambooo
Ahaaaaa duuuu eeee Mungu we mbinguni tunusuru twafwa
 
Nimeamka nakutana na msiba huo
Wanaume tumepaki wachache sana
Screenshot_20190908-093527_1567933142632.jpeg
 

Attachments

  • Screenshot_20190908-093527.jpeg
    Screenshot_20190908-093527.jpeg
    50.5 KB · Views: 32
Kikawaida mimi huwa sibebwi na mawimbi ya vimisemo vya ajabu ajabu vya msimu...huwezi nikuta natumia hii misemo kwenye mdomo wangu..
Sijui....KAMA LOTE....WATAPATA TABU SANA...etc
Na sasa naona kila mahalî BAHARIA...
Hii kitu kiukweli ili nishinda mfano mtu kutumia jina Jiwe, najiona wa ajabu sana, Magufuli sikubaliani nae kwenye baadhi ya mambo lakini huwezi kunikuta namwita eti Jiwe
 
Back
Top Bottom