Historia ya neno Msela na Baharia

Historia ya neno Msela na Baharia

Mnasalimiwa
20190906_175742.jpeg
 
Naona nyuzi nyiingi za kujinasibisha / kunasibishana na HILI NENO "baharia"

Ebu enyi mabaharia njooni mnipe elimu juu ya hii kauli. Nyingi ni watu wa Aina gani ama ni watu wenye Tabia gani?.

Huenda nami nikawemo.!!

UZI TAYARI
 
Thanks my queen to love, what i love and i promise, we will be forever...I try harder to love what you love in order to persist our loveness. Have a nice night my lady? The lady of my heart...
Have a nice night too!
Just remember to pray before going to bed dear!
 
Mabaharia ni watz walioamua kujipa matumaini na kupoteza mawazo kwa kujiliwaza na memes za hapa na pale zihusuzo ubaharia.
Pia baharia anakuwa portrayed kama mwanaume fulani muhuni muhuni
 
.....Sifa kuu ya MTU baharia ni kujihusisha na michongo yake bila kuwabughuzi wengine. Hii ya kwanza nyenye busara

Pili mabaharia mwiko kula mke wa MTU zaidi ya Malaya tena na kilainishi.

Tatu ,baharia wengi mabachela kwao hata mlo mmoja safi.

NNE, mabaharia wengi club za starehe wanaenda na buku 3 , wanarudi wamelewa chakari.

Tano, mabaharia ndo wale waliochomoa betri morogoro.
 
Hahahaaa mabaharia
 
Kila kona hili neno limetawala,nitoeni usingizini maana hapa Tarime halijafika bado
Naona nyuzi nyiingi za kujinasibisha / kunasibishana na HILI NENO "baharia"

Ebu enyi mabaharia njooni mnipe elimu juu ya hii kauli. Nyingi ni watu wa Aina gani ama ni watu wenye Tabia gani?.

Huenda nami nikawemo.!!

UZI TAYARI
 
.....Sifa kuu ya MTU baharia ni kujihusisha na michongo yake bila kuwabughuzi wengine. Hii ya kwanza nyenye busara

Pili mabaharia mwiko kula mke wa MTU zaidi ya Malaya tena na kilainishi.

Tatu ,baharia wengi mabachela kwao hata mlo mmoja safi.

NNE, mabaharia wengi club za starehe wanaenda na buku 3 , wanarudi wamelewa chakari.

Tano, mabaharia ndo wale waliochomoa betri morogoro.
Duuh aisee,ndiyo wanaovaa suluari chupa ila buti oversize?
 
Back
Top Bottom