Yaani wanaume siku zote huwa mnatafuta kila namna mwanamke aonekane ndiyo mwenye makosa eti asipobadilika ujue huyo Mtoto siyo wake kwamba huyo mwanaume yeye hawezi kuwa na matatizo yake binafsiNdo maana na mm hapo juu nimemuuliza yeye kauli zake zikoje? Ujue hata kama umenitoa vichakani nikiwa sina mia haimanishi unitawale na kuninyanyasa kisa umenisaidia ,hata mungu hawez kubar dua zake kama kweli hampi jamaa amani kisa kumtoa kimaisha .
Pia huyu Dada pamoja na yote ni femist fulan hivi kitu ambacho wanaume hatupendi kabsa wanawake wa hivi na ikichangia huyu ni msomi na tunavyojua wadada wasomi wanavyo behave sababu wanajiweza .
Na uhakika aki muita huyo jamaaa kwa adabu na kumweleza afanye jambo kwa mwanae lililo ndani ya uwezo wake hawezi kataa,lakin,lakin approach yake inaweza kuwa inafanya jamaa akose haki ya kumsaidia mwanae sababu mama analeta nyodo nyingi na mtoto ili asaidike lazima msaada upitie kwa mama sababu mtoto bado mdogo
Inaweza kuwa jamaa anataka mtoto asome shule ada million moja ,mama MTU anakomaa asome ya million 4 ili mradi jamaa ateseke na vile anakuwa na familia mbili ni kama anamkomoa vile
Dada Fanya hivi
Leo mpigie simu ongea nae kwa busara ,msikilize maoni yake kuhusu mtoto ,mshauri kiustaarabu na ki adabu na pia shukuru kwa msaada wowote atakaotoa kwa upendo wa hali ya juu na unyenyekevu wa hali ya juu.kama jamaa hatabadililika basi huyo mtoto sio wake ulimbambikia .
People with these wise kinda words are so gone! She was once the guardian angel to that dude, she's currently the upcoming satan. May God guide herNow kipepeo, breathe! Breathe Beaut IN, nasty OUT!
If you say so about kumtoa /kumu guide to success/finding some legs uyo jamaa... God made you his Angel okay... dont take too much credit ndo maana inakuuma jamani. If he decided to ditch you sweetheart just move on... fate will decide. Dont think to revenge okay?! Kwanza umebarikiwa unajiweza so why uanze kuwaza so rotten hivyo??? Be careful cause if you decide to resent/ revenge ukute na yeye kashajipanga to give you a taste of your own medicine apo ndo sisi tunaokupenda tunakua concerned sana coz it may move from bad to the worst.
You are brave, beautiful and blessed. Continue to be a blessing and make this world a better place to everyone dont wish to be a Jezebel/Satan to no one.
We loke you. Most important your kids and this current mchumba loves you. That should suffice. Why be bothered by this other dude you think is a bastard😊
Aisee.. kuna watu wanakutana na bahati ila huwa wanavyozichezea daa. Pole sana aiseeImagine umekutana na mtu Hana mbele Wala nyuma,umemkubali jinsi alivyo,wakati huo una ajira yako,una kagari,unamwezesha inapobidi,unampa mbinu za kupambana,unakomaa naye ilhal Hana kitu,mnazaa,mnashindwana,unaamua kumove on,na mwanao,yanatokea ya kutokea kazini ,unamface kwasababu Hali tete ili asaidie mwanae kielimu,anakupiga mapicha picha akisaidiana na kahaba lililomkuta tayari ushamweka poa,wanaenda mbali kutaka kumdhuru mwanao,halafu niendelee kukaa kimya Kama mjinga?hapana katavi inahusika[emoji120]
Wao wamezidi ,sie tunakubar na kuona ulitoa sadakaMkuu kwani hakuna wanaume wanaowasaidia wanawake halafu Mwisho wa siku wanawaambia maneno kama hayo
Hii kali ya mwaka🤣🤣🤣ukoo lazima ujikusanye kwa kweli
Jamaa una mkwara sana wewe 😂😂😂Shida iko wapi we singo maza? Simple tu ulikuwa unadhani kipato chako ndio mapenzi. Mapenzi sio pesa pale aliposita tu ulitakiwa ujiongeze. Hakuna mwanaume anayetegemea mwanamke amwongoze kwenye maisha wewe ulidhani kipato chako kitakufanya upendwe, ulikosea hapo
TULIA ULEE MTOTO AKITOKEA WAKUTOKEA FUNGA NAE NDOA
Mimi ningeshabadili.Alafu mtoto kama huyo bado unatumia surname ya babake....,
Kabisaa mzee anafanya kaziWana ukoo tukutane msibani
Sijakimbia nilikuwa bize kumpa mzee maelekezo,mlio utasikika tu,popote ulipo jiandae ,najua nawe unapambana kupitia Bibi yako,tuone Kama utawazidi wafipa wewe hahahahKipepeo wa chuma1 naona umekimbia uzi
Msamehe jamaaKabisaa mzee anafanya kazi
Nikimaliza hili nitafanya,Sina time naye imeniuma wanapanga kuniulia mtoto,na mama yake na mkewe,kisa mzaliwa wa kwanza, mbona nilikausha 4 years?hapana tukutane kataviMimi ningeshabadili.
Hapana unyama waliomfanyia mwanangu kwa miaka 4 nikikuhadithia utachoka,it's time for revengeMsamehe jamaa
Hv haya huwa kweli jamani?😅😅😅...hizi nguvu mdogo wangu ungewekeza kwenye utafutaji ..unaweza roga ukasubiri miaka dahari huoni akitetereka...Sijakimbia nilikuwa bize kumpa mzee maelekezo,mlio utasikika tu,popote ulipo jiandae ,najua nawe unapambana kupitia Bibi yako,tuone Kama utawazidi wafipa wewe hahahah
Na ww why umpe baba mtoto mdgo namna hiyo?Hapana unyama waliomfanyia mwanangu kwa miaka 4 nikikuhadithia utachoka,it's time for revenge
Duh! nipe summary kidogoHapana unyama waliomfanyia mwanangu kwa miaka 4 nikikuhadithia utachoka,it's time for revenge
Bendera chuma , mlingoti chuma uchawi hauendi kwa mentali 😂😂Hapana unyama waliomfanyia mwanangu kwa miaka 4 nikikuhadithia utachoka,it's time for revenge
Nitapita usijal mkuuUnaporudi katavi nipitie hapa namanyere🤭