Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,712
100% mwanaume anayepiga mwanamke wake huwa kapuku balaaSijawahi date wanaume wanaopiga wanawake toka nimeanza mapenzi,wanaume zangu huwa tunaongea tu,tukishindwana kila mtu anachukua hamsini zake,manake mie ni mwanadiplomasia.
Hisia eeh,hawajakufanyizia,na kwakuwa nyota yako mdogo,huna maajabu🤣Loga Ni kuloge....maisha yakifala Sana haya
kurogwa asilimia Kubwa Ni hisia... Unahisi unarogwa ....
Labda umkute mtu live nyumbani kwako au uone madawa... But wengi wetu..huwa tunahisi tu
Wana stress za ukapuku,mnapigana ili iweje?kwanza ni ukosefu wa akili pia100% mwanaume anayepiga mwanamke wake huwa kapuku balaa
Haya maswali yako nitayajibu shoo ikiisha.Walitaka kumdhuru vipi?
Up to then mtoto alikua anakaa na nani? Baba yake au wewe? If alikua kwako how they accessed the kid? Au mpo jirani as in you live here, they enjoy themselves just next door?
Walitaka kumuua/kumdhuru by which method au mistreat/torture/kiushirikina as your planned approach?
Hell hath no fur as a woman scorned. But please breathe. Dont think to open a can of worm coz mwenyewe ushasema wameshashtukia na wao wanapambana. Even if you are more specialized.., we here have begged you a million times sweetheart hear us out back down, retreat... revenge belongs to God.
Mwanaume mwenyw maisha yake ukimzungua unamuona tu anabadili ratiba zake..tena wanahama anakuacha hapo alone..unanipigaje sasa? Umaskini wako kapeleke huko kwenu aiseWana stress za ukapuku,mnapigana ili iweje?kwanza ni ukosefu wa akili pia
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]....Mkuuuu siwezi ishi kwa hisiaHisia eeh,hawajakufanyizia,na kwakuwa nyota yako mdogo,huna maajabu[emoji1787]
Nishamshtukia huyu ana lolote kaamua tu kufanya uzi wake uendeUnamzoom wapi?...huu Ulozi wako wakuona matokeo ukiwa mbali ukoje.. unatumia...kiooo gani mwenzetu..?
Badala aroge apate mume wakumkuna na kulea watoto wake ...Anakazana kuroga baba wa mtoto wake....Nishamshtukia huyu ana lolote kaamua tu kufanya uzi wake uende
Kasema ana mume jaman...tusimkashifu..huenda akaloga kweli jamaa akafirisika roho ikamtuliaBadala aroge apate mume wakumkuna na kulea watoto wake ...Anakazana kuroga baba wa mtoto wake....
Revenge Ni mafanikio yako....hilo ndo humuuma zaidi mwanadamu...
Hana mume shosti Ni mchepuko tu.... Ndo.maana Mimi namshauri Aroge huyo mume amuache mkewe amuoe yeye...au amuoe mke WAPILI.... ..hayo ndo maajabu... Yanayotakiwa kwenye Ulozi..Kasema ana mume jaman...tusimkashifu..huenda akaloga kweli jamaa akafirisika roho ikamtulia
Hahaha mnaharibu uzi sasa....ngoja tusikie hilo bomu la kwa lya mfipaaa....Hana mume shosti Ni mchepuko tu.... Ndo.maana Mimi namshauri Aroge huyo mume amuache mkewe amuoe yeye...au amuoe mke WAPILI.... ..hayo ndo maajabu... Yanayotakiwa kwenye Ulozi..
Atakua Huyu Huyu, maana naona anatumia nguvu sana kukwamisha jitihada zakoNdo wewe Nini😅itajulikana tu
Sikujibu utanimalizia bando🤣saivi naenda mnadani kula nyama ya mbuzi,so nipumzishe kidogo,nitarudi jioni.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]....Mkuuuu siwezi ishi kwa hisia
Nimepata malaria ...Kuna mtu kanitumia mbu....
Kama wewe unaamini una maajabu Sana ndo maana unarogwa sana...Sasa hayo maajabu Mimi nayataka ya Nini?
Naulivyosimamishwa kazi....Akikuroga ulimfanyaje?...
Huyo mume wa mtu unaetembea nae....utakuwa ushamroga Sanaaaa.....
Kama unamaajabu....Kwanini hao waganga wako wasikupe Dawa huyo mume wantu akuoe kihalali mke WAPILI....
Unajisifia Ulozi alafu Ni michepuko unafichwa kwa kiroba Cha Bangi.....nioneshe hiyo nyota yako kaliii...na hayo maajabu yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lolKwa kweli yaani mimi naona kama anachelewa! Ninavyosubiri mrejesho hapa utasema nasubiri mshahara!
Hahah huyo sitaki aachike,kwani Hana maajabu chumbani,na jamaa shoo zake za kibabe yeye haziwezi,soon tunaenda bomani kuhalalisha na yeye atabaki na heshima ya mke wa kwanza.Siwezi mfanyia hila sababu nilimkuta.Hana mume shosti Ni mchepuko tu.... Ndo.maana Mimi namshauri Aroge huyo mume amuache mkewe amuoe yeye...au amuoe mke WAPILI.... ..hayo ndo maajabu... Yanayotakiwa kwenye Ulozi..
Kuna maswali mnauliza ambayo sipaswi kuyajibu saivi,mzee wangu mwingine yuko ngende mtwara,naye ashaanza kushughulika,ameuza ekari zangu mbili za urithi,nimemruhusu kushughulikia hili
Hahah huyo sitaki aachike,kwani Hana maajabu chumbani,na jamaa shoo zake za kibabe yeye haziwezi,soon tunaenda bomani kuhalalisha na yeye atabaki na heshima ya mke wa kwanza.Siwezi mfanyia hila sababu nilimkuta.Hana mume shosti Ni mchepuko tu.... Ndo.maana Mimi namshauri Aroge huyo mume amuache mkewe amuoe yeye...au amuoe mke WAPILI.... ..hayo ndo maajabu... Yanayotakiwa kwenye Ulozi..
Furaha ninayo tele,kuuza ekari kotu gani?mzee wangu Ana mashamba Kama yote,so wataisoma tu.Mmh hio hela Bora ungemuekea mtoto kwa ajili ya ada
Kweli kisasi ni kibaya
Ulipokosa ada ya mtoto mbona huku uza hizo hekari mbili?
My dear I understand wamekuchokoza na una hasira sana ila kuwa makini maamuzi yako ya sasa yanaweza kuwa mzigo badae
Pole sana kwa unachopitia
Nakuombea upate amani,kwa sasa hauna furaha wala amani
Sasa...Mimi nachotaka Ni uolewe na huyo mwanaume...Mkae mleee hao watoto na mzae watoto....hiyo nguvu yako ya ULOZI ....elekeza huko.....Kama KWELI unaaamini kurogana.... Huko ndo unakotakiwa kuinvest Ulozi wako.....Hahah huyo sitaki aachike,kwani Hana maajabu chumbani,na jamaa shoo zake za kibabe yeye haziwezi,soon tunaenda bomani kuhalalisha na yeye atabaki na heshima ya mke wa kwanza.Siwezi mfanyia hila sababu nilimkuta.
Wape juju kali, tena njoo inbox nkupe ufundi, unaweka juju ya kumaliza ukoo mzima, hakibaki kitu had kiumbe cha tumboni km kuna mwenye nacho ktk huo ukoo kinakwenda na maji.Yani kila nikimzoom jamaa anavyotetemeka yeye na mama yake na mkewe naishia kutabasamu,hahahah,wanasema usianzishe vita usiyoimudu,hahahah ikishindwa katavi tunaingia ngende,hahahah,na katavi haijawahi shindwa[emoji1787][emoji1787]
Hahah huyo sitaki aachike,kwani Hana maajabu chumbani,na jamaa shoo zake za kibabe yeye haziwezi,soon tunaenda bomani kuhalalisha na yeye atabaki na heshima ya mke wa kwanza.Siwezi mfanyia hila sababu nilimkuta.Hana mume shosti Ni mchepuko tu.... Ndo.maana Mimi namshauri Aroge huyo mume amuache mkewe amuoe yeye...au amuoe mke WAPILI.... ..hayo ndo maajabu... Yanayotakiwa kwenye Ulozi..