Historia ya maisha yangu

Siwezi lala takataka Hilo,Hana maajabu🤣
 
T
Sasa si uende huko Katavi, mbona unapoteza muda kutuandikia mavitu mengi wakati ushaamua unataka kwenda kupiga ramli...

Mwanzo nilidhani waandika uzi labda watafuta ushauri fulani
Tulia ngoma ishaanza pigwa kitambo
 
😅😅😅...aende ustawi wa jamii tu...atasomeshwa tu ..ila kiuhalisia inauma mtu umempa mwanga leo anakuumiza nafsi hvy?
Kipepeo wa chuma1 mchumba hasaidiwi..ungemuacha ajipush mwenyewe. Sema hukujua ...pole dogo
Ware. Ustawi wa jamii bado wanatumia Ile Sheria ya 1971 ambayo mwanaume anatakiwa atoe matunzo ya sh 170. In words Mia moja na sabini
 
Mwache aongee bado lake mdomo wake vidole vyake Uhuru wake🤣
 
Wewe ndio umenielewa,na kwa sababu hiyo na heshima ya mwanangu,lazima jamaa tumrudishe chini,piga ua garagaza anarudi moja,wazee wangu wamechungulia wameona na wameamua hivo🙅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…