miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
Siasa kazi kama kazi zingine .. Faida muhimu tena faida kubwa ..
Huyo anayetakiwa kumtumbua Mbowe ni nani?
Elezea vizuri uelewekeMbowe ndie anaedumaza upinzani Tanzania kwa siasa zake za kibiashara.!
Kwanza mmeishiwa na majipu ya kutumbuawanajamvi, kutokana na malalamiko ya wananchi juu ya hali mbaya tulofikishwa hapa na majipu.
Tuchungulie haya;
1. Ruzuku ndan ya chama chake inavotumiwa si wazi,
2. Kupongeza na kuutakasa ufisadi wa Richmond,
3. Wastaafu hawana pension, lakin kuna kipindi alikuwa mdaiwa sugu pale tetes zilizagaa
4. Hataki kuachia madaraka,
5. Amekuwa mtu anayechonganisha wananchi kwa watawala wasio na makosa lakin baadae anatengua kaul zake mwenyewe,
6. Amekuwa akishtumiwa kwa mambo mengi yasiyopendezwa.
Je inabidi atumbuliwe naye ni jipu?
Kuna Jamaa Maarufu Kama Kizaizai Supertall,mtoto Wa Mjini, Kasema Kamjua Mbowe Kupitia Mbowe Hotel Ya Baba Yake Kuanzia Nyuma Mpaka Miaka Ya 90,ili Tujue Vema Historia Yake Aweze Kuongezewa Muda Wake Kufanya Kaz Kwa Kipindi Kingine, Ebu Wanaomjua Vema Tunaomba Watujulishe Historia Yake, Kila Mwaka Alipokuwa
HeheKwa nini hukumuuliza huyo Shekhamakhai (Kizaizai)
Huyo kizaizao wako nayeye mwambie watu wanamjia tangu alipokuwa ilala boi wa waarabu anaosha masufuria, ameletwa kutoka tanga akaishia jikoni kukwangua makoko,mwambie akae kimya.Kuna Jamaa Maarufu Kama Kizaizai Supertall,mtoto Wa Mjini, Kasema Kamjua Mbowe Kupitia Mbowe Hotel Ya Baba Yake Kuanzia Nyuma Mpaka Miaka Ya 90,ili Tujue Vema Historia Yake Aweze Kuongezewa Muda Wake Kufanya Kaz Kwa Kipindi Kingine, Ebu Wanaomjua Vema Tunaomba Watujulishe Historia Yake, Kila Mwaka Alipokuwa
Mbowe ni Mwenyekiti imara wa CHADEMA ambaye amewafanya magamba wavikimbie vitanda vyao Kama vina kunguni.Kuna Jamaa Maarufu Kama Kizaizai Supertall,mtoto Wa Mjini, Kasema Kamjua Mbowe Kupitia Mbowe Hotel Ya Baba Yake Kuanzia Nyuma Mpaka Miaka Ya 90,ili Tujue Vema Historia Yake Aweze Kuongezewa Muda Wake Kufanya Kaz Kwa Kipindi Kingine, Ebu Wanaomjua Vema Tunaomba Watujulishe Historia Yake, Kila Mwaka Alipokuwa
Peace of mind economically baba! Wakati wewe ili uishi ni mpaka ujipendekeze na kuukana ukweli yeye na hiyo O unayosema maisha yametuliaEti peace of mind! Ha ha ha ha anakuwaje na peace of mind wakati kila siku anafukuzana na polisi mitaani kwa u O wake wa Elimu! Ha ha ha haaaa!