mbatombato
JF-Expert Member
- Jun 25, 2016
- 441
- 245
Akiamua kufanya hivyo Atakua Criminal na sio kiongozi wa kisiasa...Hivi akiamua kukutafuta kwa hasira ili kumalizana na wewe utamuweza?
Kama unavyosema mwenyewe kuwa ni mtoto wa mjini ugomvi binafsi utauweza? Fikiri kwanza kabla ya kufanya haya.
Unaweza kumuudhi mtu akaamua kushuhulika na wewe. Uwe tayari.
Maisha ya kiongozi yeyote wa kisiasa ni yenye public interest.. hivyo sioni sababu ya kumchimbia mtu biti kisa kauliza swali la kutaka kufahamu wasifu wa kiongozi wa chama cha siasa..
Huenda pia akawa ni mwananchi wa kawaida anayetafuta chama cha kujiunga nacho hivyo anataka kujua wasifu wa kiongozi atakayemuongoza kiitikadi before kujiunga chamani..
Kwanini umeitafsiri kama ni vita??