Historia ya Freeman Aikael Mbowe (hadi mwaka 2015)

Historia ya Freeman Aikael Mbowe (hadi mwaka 2015)

Dah victoire umenena kweli hayo macho yamekaa kiwizi wizi tu yaani full kupiga dili,typical majizi
 
Victoire umenifurahisha sana, kila nikiitizama hiyo picha ya Mbowe na mkwewe nacheka sana tena sana.
Hhahahaha hataree yaani siamini kama Lowasa kawa lulu kwako sasa hivi,chezea maslahi binafsi wewe
 
Mbowe mashine, mchana na macho yake maana yake utaijua ukiwa mkubwa.
 
Inasemekana kwamba watu wenye squinted eyes ni extra bright

Ni kweli kabisa wako very bright ndio maana wameuza CHADEMA kwa bilioni 10 na kuwaacha ninyi mkipiga kelele "mabadiliko, mabadiliko" wakati wenzenu wameweka pesa kibindoni huku wakijua fika kuwa Lowassa kuingia Ikulu ni sawa na mlima Kilimanjaro kung'oka na kuhamia Dar es Salaam.
 
Mbowe ni mpiga dili. Mbowe amefanikiwa sana kwenye biashara ya siasa, nyie endeleeni kupiga kelele za mabadiliko mwenzenu kapiga hela.
 
Mimi kama mwanachadema halali napenda kujua history ya mwenyekiti wetu kama ambavyo CCM Na vyama vinginevyo hutoa hadharani history za viongozi wao:

1. ALipozaliwa,
2. Alipokulia
3. Shule alizosoma,
4. Maeneo aliyoishi
5. Biashara yake,

Uhusiano wake Na makubwa,

Kuna Jamaa Maarufu Kama Kizaizai Supertall, mtoto Wa Mjini, Kasema Kamjua Mbowe Kupitia Mbowe Hotel Ya Baba Yake Kuanzia Nyuma Mpaka Miaka Ya 90, ili Tujue Vema Historia Yake Aweze Kuongezewa Muda Wake Kufanya Kazi Kwa Kipindi Kingine.

Hebu Wanaomjua Vema Tunaomba Watujulishe Historia Yake. Sikuiamini sana ya kizai zai, naomba anayejua atwambie
 
Kuna Jamaa Maarufu Kama Kizaizai Supertall,mtoto Wa Mjini, Kasema Kamjua Mbowe Kupitia Mbowe Hotel Ya Baba Yake Kuanzia Nyuma Mpaka Miaka Ya 90, Alijulikana Kama Mtoto Wa Mjini, Ebu Wanaomjua Vema Tunaomba Watujulishe Historia Yake, Kila Mwaka Alipokuwa

Unataka historia ipi!
 
Ni Kwa Kutaka Kujua Majukum Ya Ku Run Chadema Na Ukawa Kama Inamfaa Maana Hzo Ni Nyadhifa Kubwa Sana,
 
Kuna Jamaa Maarufu Kama Kizaizai Supertall,mtoto Wa Mjini, Kasema Kamjua Mbowe Kupitia Mbowe Hotel Ya Baba Yake Kuanzia Nyuma Mpaka Miaka Ya 90, Alijulikana Kama Mtoto Wa Mjini, Ebu Wanaomjua Vema Tunaomba Watujulishe Historia Yake, Kila Mwaka Alipokuwa
Mmesikia Ruzuku itaongezeka mnaanza kuzengea zengea,kamwe hamuwezi kuvuruga chama
 
Kuna Jamaa Maarufu Kama Kizaizai Supertall,mtoto Wa Mjini, Kasema Kamjua Mbowe Kupitia Mbowe Hotel Ya Baba Yake Kuanzia Nyuma Mpaka Miaka Ya 90, Alijulikana Kama Mtoto Wa Mjini, Ebu Wanaomjua Vema Tunaomba Watujulishe Historia Yake, Kila Mwaka Alipokuwa

Ukishajua ikusaidie nini?
 
Hivi akiamua kukutafuta kwa hasira ili kumalizana na wewe utamuweza?
Kama unavyosema mwenyewe kuwa ni mtoto wa mjini ugomvi binafsi utauweza? Fikiri kwanza kabla ya kufanya haya.
Unaweza kumuudhi mtu akaamua kushuhulika na wewe. Uwe tayari.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom