Historia ya Freeman Aikael Mbowe (hadi mwaka 2015)

Duh! historia yake anaijua ye wazazi wake wengine tunamjua jina na nyadhifa yake but kuhusu historia yake watafute wazazi wake au yeye mqenyewe
 
Kuna Jamaa Maarufu Kama Kizaizai Supertall,mtoto Wa Mjini, Kasema Kamjua Mbowe Kupitia Mbowe Hotel Ya Baba Yake Kuanzia Nyuma Mpaka Miaka Ya 90, Alijulikana Kama Mtoto Wa Mjini, Ebu Wanaomjua Vema Tunaomba Watujulishe Historia Yake, Kila Mwaka Alipokuwa
Na mimi nasema namjua huuo Supa tall wako tangu yuko pale kwa waarabu ilala akiosha masufuria.....tuendelee?.
 
Ni vizuri sana make kwenye siasa bwana kuna mambo ambayo yakitokea hutaweza kuyahoji kisutu lakini ukiwapata wajuzi wanaweza kusaidia kumwelewa mliyenaye ni wa aina gani na alipitapitaje huko udogoni-ujanani. Binafsi niliomba jana wanaomfahamu watusaidie na sababu yangu bado ni ile ile, aliwezaje kumpokea mtu yule aliyemwita majina yote ya kishetani na kumpa wadhifa wa kusimama kwa ajiri ya chama chake? mtu ambaye nje ya pesa yake naamini jamii inamwona mwovu sana. Na alifikiria nini kikamwaminisha kwamba sisi watanzania tutakaa tuicheze ngoma yake? Na je, akiri ya Mbowe huko aliko anawaza kwenda kuongea nini kwa watanzania hasa atakapokuwa bungeni, sahivi ataendelea kuwaita akina fulani mafisadi? je, atawezaje kuwasema wenzie kwa mabaya wakati yeye mwenyewe kajaza uozo na ubaya wote kwenye taasisi yake? nahisi tukipata historia yake inaweza kujibu baadhi ya maamuzi na mienendo ya huyu jamaa. Kwa waliokuwa Ihungo sec. pia tunaomba mtusaidie.
 
Kweli Kaka Ebu Tupeni Historia
 
Kuna Jamaa Maarufu Kama Kizaizai Supertall,mtoto Wa Mjini, Kasema Kamjua Mbowe Kupitia Mbowe Hotel Ya Baba Yake Kuanzia Nyuma Mpaka Miaka Ya 90,ili Tujue Vema Historia Yake Aweze Kuongezewa Muda Wake Kufanya Kaz Kwa Kipindi Kingine, Ebu Wanaomjua Vema Tunaomba Watujulishe Historia Yake, Kila Mwaka Alipokuwa
Kwanini huyo Jamaa asikupe historia yote,Au ni yaleyale kukariri kwingi?
 
Muongo na mnafiki kwa kuuza nafasi ya mtu katika chama kwa mabilion ya hela,kisha kuzila yeye na muhasisi,huku wana ukawa wakibaki wakiwa
 
Tunapotea njia tunatakiwa tumjue sana rais mpia,mwanasheria mkuu, mawaziri na viongozi wa chama tawala hilo lingekua la maana sana kwani hawa ni wa kitaifa, ili tujue kama wana uwezo kweli wa kuwa viongozi wa taifa hili au ni wapitaji,hii itatusaidia namna ya kuendesha mipango yetu.
Hawa tutaanza kuwachunguza 2018 na kuendelea
 
Ni vizuri sana make kwenye siasa bwana kuna mambo ambayo yakitokea hutaweza kuyahoji kisutu lakini ukiwapata wajuzi wanaweza kusaidia kumwelewa mliyenaye ni wa aina gani na alipitapitaje huko udogoni-ujanani. Binafsi niliomba jana wanaomfahamu watusaidie na sababu yangu bado ni ile ile, aliwezaje kumpokea mtu yule aliyemwita majina yote ya kishetani na kumpa wadhifa wa kusimama kwa ajiri ya chama chake? mtu ambaye nje ya pesa yake naamini jamii inamwona mwovu sana. Na alifikiria nini kikamwaminisha kwamba sisi watanzania tutakaa tuicheze ngoma yake? Na je, akiri ya Mbowe huko aliko anawaza kwenda kuongea nini kwa watanzania hasa atakapokuwa bungeni, sahivi ataendelea kuwaita akina fulani mafisadi? je, atawezaje kuwasema wenzie kwa mabaya wakati yeye mwenyewe kajaza uozo na ubaya wote kwenye taasisi yake? nahisi tukipata historia yake inaweza kujibu baadhi ya maamuzi na mienendo ya huyu jamaa. Kwa waliokuwa Ihungo sec. pia tunaomba mtusaidie.

Kiswahili chenyewe hukijui unahangaika kumjua Mbowe.. hahaha AKIRI NDIO NINI?
 
anaitwa freemon alkael mbowe!!ni mkwelima wa mtei gavana wa zamani wa tanzania,ni mwenyekiti wa chadema kwa awamu tatu!!kifupi kifupi kumchagua mwenyekiti chadema hakuna demokrasi kwani anasimamia chama cha mkwe ambaye ni mwanzirishi(mtei)mbowe ni maarufu kwa siasa za tanzania kwa sasa,mbowe pia ni maarufu kwa upotoshaji ni muhamasisha wa maandamo mara kwa mara,,mbowe ana diploma of art ambayo aliipata baada ya kufanya kazi ya dj club bilikanasi jiji dar es salaam!!!mwisho kwa taaluma yake mboye ni msanii!!!mwisho wa historia
 
Huyu alikuwa mgombea Urais wa Tanzania mwaka 2005, hamjui historia yake? Taifa la namna gani mtu anaweza kufikia hatua hiyo na sasa akiongoza chama kikuu cha upinzani na hamjui historia yake??
 
Mchangishaji hela maarufu za wafuasi malofa na anazitafuna

Anawadharau sana nyumbu wake yaani, na ukiona mtu aliyesoma anamshabikia Mbowe basi naye ayakuwa ana traits za aina ya mbowe ..mzushi, mpigaji na mbabaishaji
 
Ni vizuri sana make kwenye siasa bwana kuna mambo ambayo yakitokea hutaweza kuyahoji kisutu lakini ukiwapata wajuzi wanaweza kusaidia kumwelewa mliyenaye ni wa aina gani na alipitapitaje huko udogoni-ujanani. Binafsi niliomba jana wanaomfahamu watusaidie na sababu yangu bado ni ile ile, aliwezaje kumpokea mtu yule aliyemwita majina yote ya kishetani na kumpa wadhifa wa kusimama kwa ajiri ya chama chake? mtu ambaye nje ya pesa yake naamini jamii inamwona mwovu sana. Na alifikiria nini kikamwaminisha kwamba sisi watanzania tutakaa tuicheze ngoma yake? Na je, akiri ya Mbowe huko aliko anawaza kwenda kuongea nini kwa watanzania hasa atakapokuwa bungeni, sahivi ataendelea kuwaita akina fulani mafisadi? je, atawezaje kuwasema wenzie kwa mabaya wakati yeye mwenyewe kajaza uozo na ubaya wote kwenye taasisi yake? nahisi tukipata historia yake inaweza kujibu baadhi ya maamuzi na mienendo ya huyu jamaa. Kwa waliokuwa Ihungo sec. pia tunaomba mtusaidie.

watu walisasema lowasa ni fisadi na aliipa hasara sana serikali kupitia richmond kama ni sawa wamshitaki ili tujue maana hapa kila mtu anakuja na lake tu na hakuna ushahidi wowote ambao unaonyesha kuwa lowasa ni mhusika bas kama upo utolewe hadhalani na mhusika ashitakiwe lakini kwa nini kunakuwa na kigugumizi ambapo kila mtu anaongea lake tulimsikia mkulu alie pita akisema mhusika mkuu ni lowasa bila kutueleza kiundani alihusika vipi yangu ni hayo tu.
 
subiri akifa utajua historia yake,historia za watu kwa ataratibu wa dunia unajulikana akifariki
 
Wanajamvi, kutokana na malalamiko ya wananchi juu ya hali mbaya tulofikishwa hapa na majipu.

Tuchungulie haya;

1. Ruzuku ndani ya chama chake inavotumiwa si wazi,
2. Kupongeza na kuutakasa ufisadi wa Richmond,
3. Wastaafu hawana pension, lakin kuna kipindi alikuwa mdaiwa sugu pale tetes zilizagaa
4. Hataki kuachia madaraka,
5. Amekuwa mtu anayechonganisha wananchi kwa watawala wasio na makosa lakin baadae anatengua kaul zake mwenyewe,
6. Amekuwa akishtumiwa kwa mambo mengi yasiyopendezwa.

Je, inabidi atumbuliwe naye ni jipu?
 
Sultan Mbowe ndio kila kitu.....mpinge uone
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom