Historia ya Freeman Aikael Mbowe (hadi mwaka 2015)

Kwa Siasa za Tanzania Freeman Mbowe amefikia ukomo kwani chama Cha upinzani hakiwezi kuongoza Nchi hadi tutakapopata Katiba Mpya

Wenzake Mbowe ni Dr Nchimbi, Nape Nnauye, Eng Masauni na Julius Mtatiro Hawa Bado Wana safari ya Kisiasa kuelekea kuongoza Nchi kwa sababu wako CCM

Nafasi pekee aliyobakiza Mbowe ni ile ya kuwa Rais wa Yanga Africa kule hata JK, Ridhiwani, Dr Mwigullu PhD, Mkuchika na Mavunde watampigia kampeni

Ahsanteni Sana 🐼
Darasa la saba utawajua tu. Kuna siku ataleta posa
 
Alikuwa Boss wa akina Dj Peter, Dj Saydo, Dj Kalikali kwenye hotel ya mzazi wake pale Jirani na Vizazi na Vifo kwa Kabidhi na Wasii mkuu wa Serikali

Retired ulikuwaga bado iko viunoni mwa wakulima fulani Machame mashambani huko dadeki😂😂😂
 
Kwa Siasa za Tanzania Freeman Mbowe amefikia ukomo kwani chama Cha upinzani hakiwezi kuongoza Nchi hadi tutakapopata Katiba Mpya

Wenzake Mbowe ni Dr Nchimbi, Nape Nnauye, Eng Masauni na Julius Mtatiro Hawa Bado Wana safari ya Kisiasa kuelekea kuongoza Nchi kwa sababu wako CCM

Nafasi pekee aliyobakiza Mbowe ni ile ya kuwa Rais wa Yanga Africa kule hata JK, Ridhiwani, Dr Mwigullu PhD, Mkuchika na Mavunde watampigia kampeni

Ahsanteni Sana 🐼
Ni kweli Kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom