Historia ya Freeman Aikael Mbowe (hadi mwaka 2015)

Historia ya Freeman Aikael Mbowe (hadi mwaka 2015)

Kiswahili chenyewe hukijui unahangaika kumjua Mbowe.. hahaha AKIRI NDIO NINI?
Kupata uongozi wa ngazi yeyote ile hakuihitaji fomula.Unaweza ukawa ulikuwa mtega nyuki ukaacha na ukagombea nafasi ya aina yeyote na ukashinda.Iddi Amini wa Uganda hakusoma shule na hata kiingereza cha kuongea na kuandika alikuwa hajui,lakini aliitawala Uganda yenye wasomi kuliko Tanzania miaka nane.Aliondolewa madarakani na Nyerere kwa mbinde na alipukutisha askari wa Nyerere kama nzige.Nenda kambi ya Kaboya kwenye mnara wa kumbukumbu ujionee jinsi Amin alivyowateketeza askari wetu.Zuma wa Afrika kusini hakwenda shule lakini anaongoza taifa kubwa lenye nguvu ki kiuchumi kuliko Tanzania.Wako maraisi wengi duniani ambao walitokea maeneo ambayo yanadharaulika lakini baadae wakawa maraisi.Kwa hiyo hata Mbowe kama alikuwa D.J hakumzuii kuwa kiongozi wa ngazi yeyote.Halafu kufanya siasa hasa ushindani wa vyama vingi ni sawa na vita.Ni lazima utumie ujanja mwingi kama propaganda,uongo,ulaghai nk ili uweze kuvishinda vyama vingine.Warioba alishawahi kuambiwa ana ukimwi huyo msimchague atawafia si muda mrefu wakati Warioba ni mzima wa afya tele.Kwa hiyo Mbowe kusema huyu fisadi na baadae anamwona mtu safi ni jambo la kawaida kwenye siasa za vyema vingi.
 
Kuna Jamaa Maarufu Kama Kizaizai Supertall,mtoto Wa Mjini, Kasema Kamjua Mbowe Kupitia Mbowe Hotel Ya Baba Yake Kuanzia Nyuma Mpaka Miaka Ya 90,ili Tujue Vema Historia Yake Aweze Kuongezewa Muda Wake Kufanya Kaz Kwa Kipindi Kingine, Ebu Wanaomjua Vema Tunaomba Watujulishe Historia Yake, Kila Mwaka Alipokuwa
ndo hivyo
 
Mimi kama mwanachadema halali napenda kujua history ya mwenyekiti wetu kama ambavyo CCM Na vyama vinginevyo hutoa hadharani history za viongozi wao,
1. ALipozaliwa,
2. Alipokulia
3. Shule alizosoma,
4. Maeneo aliyoishi
5. Biashara yake,
Uhusiano wake Na makubwa,

Kuna Jamaa Maarufu Kama Kizaizai Supertall,mtoto Wa Mjini, Kasema Kamjua Mbowe Kupitia Mbowe Hotel Ya Baba Yake Kuanzia Nyuma Mpaka Miaka Ya 90,ili Tujue Vema Historia Yake Aweze Kuongezewa Muda Wake Kufanya Kaz Kwa Kipindi Kingine, Ebu Wanaomjua Vema Tunaomba Watujulishe Historia Yake,
Sikuiamini sana ya kizai zai, naomba anayejua atwambie


Sasa wewe kama mwanachama halali unakuja hapa ndio ofisi za chama chenu? Si uende ofisini kwenu wakupe utaratibu wa kupata hiyo historia? Au kwa nini usimwambie huyo dalali wa magari Kizaizai akwambie?
 
Ni vizuri sana make kwenye siasa bwana kuna mambo ambayo yakitokea hutaweza kuyahoji kisutu lakini ukiwapata wajuzi wanaweza kusaidia kumwelewa mliyenaye ni wa aina gani na alipitapitaje huko udogoni-ujanani. Binafsi niliomba jana wanaomfahamu watusaidie na sababu yangu bado ni ile ile, aliwezaje kumpokea mtu yule aliyemwita majina yote ya kishetani na kumpa wadhifa wa kusimama kwa ajiri ya chama chake? mtu ambaye nje ya pesa yake naamini jamii inamwona mwovu sana. Na alifikiria nini kikamwaminisha kwamba sisi watanzania tutakaa tuicheze ngoma yake? Na je, akiri ya Mbowe huko aliko anawaza kwenda kuongea nini kwa watanzania hasa atakapokuwa bungeni, sahivi ataendelea kuwaita akina fulani mafisadi? je, atawezaje kuwasema wenzie kwa mabaya wakati yeye mwenyewe kajaza uozo na ubaya wote kwenye taasisi yake? nahisi tukipata historia yake inaweza kujibu baadhi ya maamuzi na mienendo ya huyu jamaa. Kwa waliokuwa Ihungo sec. pia tunaomba mtusaidie.
Sema unamchukia mwenyewe, mimi nampenda maana tuhuma zote ni kawaida kwa mwanadamu
 
Kk umepotea njia utapigwa ngumi za uso pasipo kutambua aliyekupiga hakuna mhuhuni yoyote wa chadema anayeweza kukwambia historia yake.
 
Mimi kama mwanachadema halali napenda kujua history ya mwenyekiti wetu kama ambavyo CCM Na vyama vinginevyo hutoa hadharani history za viongozi wao,
1. ALipozaliwa,
2. Alipokulia
3. Shule alizosoma,
4. Maeneo aliyoishi
5. Biashara yake,
Uhusiano wake Na makubwa,

Kuna Jamaa Maarufu Kama Kizaizai Supertall,mtoto Wa Mjini, Kasema Kamjua Mbowe Kupitia Mbowe Hotel Ya Baba Yake Kuanzia Nyuma Mpaka Miaka Ya 90,ili Tujue Vema Historia Yake Aweze Kuongezewa Muda Wake Kufanya Kaz Kwa Kipindi Kingine, Ebu Wanaomjua Vema Tunaomba Watujulishe Historia Yake,
Sikuiamini sana ya kizai zai, naomba anayejua atwambie
Lete historia yako kwanza isije ikawa ni kati ya watu wasiojulikana. Umewezaje kuwa mwanachama halali wa Chadema bila ya kadi! Wewe tapeli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom